Kwa akili kubwa aliyonayo John Pambalu upo uwezekano akasajiliwa kama wakina Nassary

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
923
4,308
Nchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto wanaofundishwa siasa na maisha wakati wakina Pambalu uzaliwa na akili ya kipaji.

Vipaji vingi vya vijana vimekufa kwa chama tawala kuogopa compitatiion wanayoweza kuleta kwa watoto wao. Vijana kama Halima Mdee, Zitto Kabwe, NONDO, Nassary na wengine wa aina hii wanapigwa vita wasijekuwa popular nchi ikaja ikapata Rais kutoka kwa wakulima na wafugaji.

Kulinda watoto wa wa wakubwa ipo mikakati yakununua wenye akili timamu wanaojisimamia na kwenda kuwanyamazisha kwa kigezo cha mshahara.

Najiuliza je CCM wapo tayari kuona vijana kama Pambalu wanastawi? Au watampa wilaya kama wakina Nassary? Waoneeni vijana huruma ninyi familia za wanaojiona wao ndio waamuzi wa nani awe Rais na Waziri Mkuu......
 
Kwani na yeye hana shibee?
 
njoo usharika upate uaskofu ndugu mwenye huruma sana na pumbalu 🐒
 
Pambalu mropokaji tu ni Tundu LISU square
 
Ukienda pale ihungo boys high school kaulizie darasa la kina John Justin pambalu
Pale ihungo boys Kuna slogan yao """MASTERY FOR SERVICE"" ukiishi pale utaambiwa

""NO ONE CAN CHANGE IHUNGO BUT IHUNGO CAN CHANGE YOU""
Darasa la kina pambalu ndilo lililo fanya mapinduzi makubwa ya IHUNGO ya leo ""IKEMEFUNA"" Kuna kazi ilinipelekaga hapo IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL

Hata ukimuuliza ELIAKIM MASWI alie kua TAMISEMI enzi izo watakwambia hata mkuu wa wilaya wa bukoba enzi izo SAMUEL KAMOTE watakwambia the same....

Dogo Ni mzalendo wa kweli na mcha MUNGU kweli kweli ""Roman Catholic"" ndie anae shikilia record ya kua diwani mdogo kuliko WOTE Tanzania Ni potential Sana huyo bwana MDOGO...
 
CCM inataka wajinga kama wewe, haitaki wenye akili
ndio maana wanainchi huwaadhibu kwenye ballot boxes kwasabb ya kukosa utu kwa wengine na nyinyi wenyewe 🐒

kwa akili ya kawaida huweza kusema Fulani ana akili 🤣

that means wewe unaemsifia ati Fulani ana akili, wewe ni useless 🐒
 
CCM haina muda na takataka, CCM has brainy and very potential scholars kila kona, mkome..!!
 
Ukienda pale ihungo boys high school kaulizie darasa la kina John Justin pambalu
Pale ihungo boys Kuna slogan yao """MASTERY FOR SERVICE"" ukiishi pale utaambiwa

""NO ONE CAN CHANGE IHUNGO BUT IHUNGO CAN CHANGE YOU""
Darasa la kina pambalu ndilo lililo fanya mapinduzi makubwa ya IHUNGO ya leo ""IKEMEFUNA"" Kuna kazi ilinipelekaga hapo IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL

Hata ukimuuliza ELIAKIM MASWI alie kua TAMISEMI enzi izo watakwambia hata mkuu wa wilaya wa bukoba enzi izo SAMUEL KAMOTE watakwambia the same....

Dogo Ni mzalendo wa kweli na mcha MUNGU kweli kweli ""Roman Catholic"" ndie anae shikilia record ya kua diwani mdogo kuliko WOTE Tanzania Ni potential Sana huyo bwana MDOGO...
Nashukuru kwa kuweka historia inayoakisi potential iliyopo ndani yake

Ukisikia anavyorespond Star TV unaona kabisa kwamba anawazidi akina Jokate, Hapi na wengine mbali sana....

Hana tabia yakusoma majibu kwenye karatasi kama walivyo vijana wengine wa familia bora
 
ndio maana wanainchi huwaadhibu kwenye ballot boxes kwasabb ya kukosa utu kwa wengine na nyinyi wenyewe 🐒

kwa akili ya kawaida huweza kusema Fulani ana akili 🤣

that means wewe unaemsifia ati Fulani ana akili, wewe ni useless 🐒
Re read
 
Pambalu anapenda kusoma Sana utamkuta anajisomea Sanaa current issues nimwandishi pia wa vitabu

Alikuaga akaenda gereza la butimba kutoa misaada ya Hali na Mali akiwa kijana asiye na kazi no-no..

Hanaga tamaa ya Mali Ni kijana mstaarabu na wakupigiwa mfano Hanaga lugha za MATUSI Wala DHARAU Wala UJIVUNI

NI kijana royal na mtiifu Sana, msikivu na mnyenyekevu Sana. Mjenga hoja, na msimamiaji mzur wa anacho kiamini
 
hayupo wa kumuonea huruma mwingine kwenye siasa 🐒

politics is all about interest...
huo ubaguzi wa sijui nani ana akili nani hana ni useless, unafanya tu watu waanze kukutazama na kukutafakari wewe kama uko sawa kwanza 🐒
 
ndio maana wanainchi huwaadhibu kwenye ballot boxes kwasabb ya kukosa utu kwa wengine na nyinyi wenyewe 🐒

kwa akili ya kawaida huweza kusema Fulani ana akili 🤣

that means wewe unaemsifia ati Fulani ana akili, wewe ni useless 🐒
Je nikisema fulani ni mjinga je?
 
Pambalu anapenda kusoma Sana utamkuta anajisomea Sanaa current issues nimwandishi pia wa vitabu

Alikuaga akaenda gereza la butimba kutoa misaada ya Hali na Mali akiwa kijana asiye na kazi no-no..

Hanaga tamaa ya Mali Ni kijana mstaarabu na wakupigiwa mfano Hanaga lugha za MATUSI Wala DHARAU Wala UJIVUNI

NI kijana royal na mtiifu Sana, msikivu na mnyenyekevu Sana. Mjenga hoja, na msimamiaji mzur wa anacho kiamini
kwahiyo unataka kusema kwamba, haya mamiheko na matusi ya humu ndani ambao vijana wake huyaporomosha kwa ustadi mkubwa na utaratibu hawakufundishwa na huyo muungwana? 🐒
 
Serikali ya CCM isivyoitakia mema Tanzania, badala ya kuwafuata CDM na kujifunza jinsi wanavyo recruit watu wao na kuwafanya waive kiuongozi, ili tuwe na vijana wengi walioiva serikalini, wao wanakazi ya kuwanunua na "kuwavua" mbongo zao pamoja na kuwakatisha ndoto zao za kuihudumia Tanzania kama ilivyofanyika kwa Zitto, Kafulila, Nasari, Na wengine wengi.

CCM ya sasa si rafiki kwa watumia vichwa kufikiri, bali ni rafiki kwa misukule.
 
Pambalu mweupe sana kichwani. Uwezo wake wa kujenga na kupambanua hoja ni mdogo sana.
 
Serikali ya CCM isivyoitakia mema Tanzania, badala ya kuwafuata CDM na kujifunza jinsi wanavyo recruit watu wao na kuwafanya waive kiuongozi, ili tuwe na vijana wengi walioiva serikalini, wao wanakazi ya kuwanunua na "kuwavua" mbongo zao pamoja na kuwakatisha ndoto zao za kuihudumia Tanzania kama ilivyofanyika kwa Zitto, Kafulila, Nasari, Na wengine wengi.

CCM ya sasa si rafiki kwa watumia vichwa kufikiri, bali ni rafiki kwa misukule.
Hakika
 
Back
Top Bottom