Nchi inakaribia kupasuka

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
1,032
1,498
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua

Jpm aliweza kuidhibiti mikutano mpaka akina mbowe na lema wakaw wakimbizi. Sasa we cheka nao tu unaona

Chadema hawanaga shukrani kwa lolote.

Jpm alizuia mikutano yote ndo mana anaheshimiwa mbinguni na duniani mana hakukuwa na yeyeto mwenye ubavu wa kimkosoa.

Hata lisu anamyambua mana alikoswa koswa
 
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua
kafungue kesi mahakamani acha kubweka hapa kama ana makosa atafungwa.
 
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua
Jinga wewe! Unafanya kazi kwa kipato kipi, kama ni mfanyakazi Kuna kikokotoo, kama ni mfanyabiashara Kuna Kodi na tozo, usisahau nchi Haina umeme
 
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua
unaongea tu sijui hatakama umeshapata passport yako ili uingie zanzibar
 
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua
Wewe kama wewe unafaidika nini na huu muungano?
 
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua
UWT leo umeamka saa ngapi?
 
Back
Top Bottom