Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Hebu tumsikilize Prof. Suleiman
Screenshot_20240424-130316.jpg
 
Hayo maisha watayatafutia wapi pasipo kuwaandalia wewe mzazi?
Acha kukimbia majukumu yako wewe. Kama hutaki kuwaachia watoto wako urithi, basi usizae.
hayo mawazo ndiyo yanayopotosha vijana na kuanza kukaa vijiweni kusubiri mirathi.

baadhi ya wazee wetu hawakwenda shule, wengine walijifia mapema sana tukaishia kupambana na maisha na tunamshukuru Mungu tumefanikiwa.

Sio wazee wote wanao uwezo wa kumuachia urithi vijana, musijidanganye fanyeni kazi mupambane.
 
Mimi namaanisha ili watoto wetu wasiishi kwa kutegemea mirathi za wazazi wao, tunatakiwa wazazi kuwaandalia maisha yao ya sasa na ya baadaye!

Mfano kwa kuwapatia elimu bora itakayowafanya kujitegemea, kwa kuwapa mitaji ya kufungulia biashara zao binafsi, kampuni, nk.
 
Back
Top Bottom