Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Urithi sio lazima iwe mali,
Malezi mema na elimu utakayo wapa wanao ni urithi kamili kabisa kama hukupata mali ya kuweza kuwaachia wanao,

Kuwaza urithi wa wazazi wako ni dalili ya uvivu,kukata tamaa au kutaka vyamteremko.
Nikusaidie urith ni mali na sio elimu
Elimu kwa mtoto ni basic needs sio urithi ni wajibu wa kumsomesha mtoto

Urithi ni mali na sio kitu kingine
 
Urithi lazima ungeishi mwenyewe , nan kakutuma uzae?
Ndo maana waafrika matajiri wakifa marafiki wakaribu ndo wanafaidi mali za marehemu lakin watoto na familia wanabaki katika hali ngumu kwa sababu ya mentality za waafrika kwamba usimpe mtoto urithi eti apambane mwenyewe

Yaan mtu unapmbana kwa ajili ya familia za marafiki zako ni mambo ya kijinga sana
 
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.

NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
Wategemezi na wao si wanatafuta vya kwao kama na wewe ulivyotafuta?
hii tabia ya kubweteka na kutegemea mali za marehemu wafrica tuachane nayo
 
Sio kutegemea mali ya marehemu
Wahindi mbona wanapasiana utajiri vizazi na vizazi waafrika tuna mindset za ajabu sana
Wewe tafuta mali zako,acha kumvizia mshua wako avute ili urithi mali,acha kushinda kijiweni ukibishana Simba na Yanga,katafute mali zako,

Michael Jordan ni tajiri ila alisema huo ni utajiri wake sio wa watoto wake,watoto wake watafute vyao,

Bill Gates pia alishasema asilimia kubwa ya mali yake wasaidiwe wasio jiweza,

Fanya kazi dogo acha kuvizia urithi utakufa masikini.
 
Na hizi akili kama zako zinawafanya matajiri wengi ngozi nyeusi wakifa na utajiri wao unapuputika wote na wanaoufaidi ni marafiki zako sababu ndo wanajua abc za mali na sio familia yako

Kuna faida gani unakufa wewe alafu marafiki zako na watu wako wengine ndo wanaofaidi matunda ya jasho lako huku familia ukiacha kwenye mateso

Wahindi na warabu wanarithishana nali unakuta utajiri ulianzia kwa babu unaenda mpaka kwa wajukuu lakin ni kawaida sana muafrika kufariki leo na utajiri wote ukamfuata yaani unapambana kwa ajili ya kuneemesha familia za rafiki yako
na ndio wewe muafrika ngozi nyeusi kwanza hutaki kujifunza cho chote unaona kama ni utumwa tu. Pili nikikuweka mfano kama dukani au kwenye biashara nyingine ndiyo unaishia kuifilisi.
 
Back
Top Bottom