kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,466
- 16,628
Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
Wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini, hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!