Je Said Fella na Babu Tale watalishinda jaribio la mvua?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,535
7,394
Kama mnavyojua tupo kwenye msimu wa mvua kubwa zinazonyesha ukanda wote wa Africa.

Lakini mvua hizi zimekutana na tamasha kubwa la kihistoria ambalo atatumbuiza msanii namba moja Africa yani Diamond Platinumz.

Diamond kalipwa pesa ndefu kutumbuiza tamasha ili na kampuni ya kinywaji pia kuna uwezekano kukawa na appearance ya Rick Ross.

Swali je mameneja wa Diamond wanaoshughulikia masuala ya ndani Fella na Babu Tale wataweza kuizuia mvua kama moja ya majukumu yao kwenye job description?

Wamekuwa wakifanya hii kazi ya kuzuia mvua kwa muda mrefu kwa mafanikio lakini mvua za safari hii zimekuwa ni za kipekee kiasi wadadisi wa mambo wanataka kupima kama uwezo bado wanao miamba hii ya burudani.

Ili msanii wao awe na tamasha lenye kufanikiwa wanahitaji sana kurudi kwenye stoo yao kuchukua vitendea kazi kuweka mazingira rafiki kwa brand yao kushain.

Tusubiri tuone itakuwaje.

Heri ya Muungano guys!
 
Msanii namba moja afrika 😂😂😂 anyway am not saying anything until my lawyer arrives to represent my case.
 
Attachments

  • 20240425_223051.jpg
    20240425_223051.jpg
    16 KB · Views: 1
Back
Top Bottom