kimbunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Taarifa ya Msemaji Mkuu wa serikali kuhusu kimbunga Ialy na hali yake kwasasa

    TAARIFA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI MOBHARE MATINYI KUHUSU UWEPO WA KIMBUNGA IALY NA HALI YAKE KWA SASA.
  2. B

    Taarifa ya msemaji Mkuu wa serikali kuhusu uwepo wa kimbunga Ialy na hali yake kwasasa

    TAARIFA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI MOBHARE MATINYI KUHUSU UWEPO WA KIMBUNGA IALY NA HALI YAKE KWASASA.
  3. C

    TMA yatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Ialy Bahari ya Hindi

    UWEPO WA KIMBUNGA “IALY” KATIKA BAHARI YA HINDI KASKAZINI MWA MADAGASCAR Dar es Salaam, 17 Mei 2024: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga...
  4. Pfizer

    Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia baada ya kimbunga Hidaya

    MHE QS KIPANGA SHIDA ZENU SHIDA ZANGU KIMBUNGA HIDAYA MAFIA KILINDONI MAFIA Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia kata ya Kilindoni Kijiji Cha kilindoni Vitongoji kumi na moja kuwa shida zao shida zake juu ya majanga ya Kimbunga...
  5. Mjukuu wa kigogo

    Madhara ya kimbunga hidaya....

    Haya ndio madhara ya kimbunga hidaya,kinadada wavaa mawigi wadhalilika vibaya sana!
  6. Msanii

    Matukio, picha na video kuhusu Kimbunga Hidaya

    Kimbunga Hidaya kimeshafika kwenye pwani yetu. Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA walitoa tahadhari ujio wa kimbunga hiko kwenye pwani ya mashariki. Uzi huu ni maalumu wa kushare matukio, picha na video za maeneo yaliyopitiwa na kimbunga hiki cha HIDAYA. Lengo ni kupashana taarifa na kuzisaidia...
  7. JanguKamaJangu

    TMA: Kimbunga “HIDAYA” kipo umbali wa Kilomita 120+ kutoka Pwani ya Dar es Salaam

    Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 12:00 Asubuhi: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo karibu na maeneo ya pwani ya nchi yetu. Hadi kufikia saa 9 usiku wa kuamkia leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban...
  8. Ncha Kali

    Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

    Ndugu zangu! Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa. Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa...
  9. ngara23

    Tahadhari zipi zinatakiwa kujikinga na kimbunga HIDAYA

    Mamlaka ya hali ya hewa imetutadhalisha juu ya janga la kimbunga hidaya kinachowasili hapa nchini hivi karibu Binafsi sielewi ni tahadhari zipi nichukue 1. Tusisogelee maeneo ya bahari? 2.Tusiwe kwenye misongamano ya watu? 3. Tusikae milimani? 4. Tuandae chakula cha kutosha? 5.mavazi yaweje...
  10. Mshuza2

    LIVE Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali ya kimbunga hiki mubashara bofya hapa: Live Weather Satellite Map | Zoom Earth ==== Pia soma: TMA...
  11. Chachu Ombara

    TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara

    UWEPO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA MTWARA Dar es Salaam, 02 Mei 2024: Kufuatia taarifa iliyotolewa jana tarehe 01 Mei, 2024 na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusu uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya...
  12. M

    Mganga wa kienyeji maarufu Dkt. Manyaunyau agundulika mbinu yake ya kutapeli watu kwa kumchezesha jini kimbunga kwa remote control

    Habari wadau, Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli. Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone...
  13. B

    Operesheni Kimbunga yasababisha serikali za Tanzania na Uganda, kushitakiwa mahakamani

    10 October 2023 Kampala, Uganda OPERESHENI KIMBUNGA YA TANZANIA YAFIKISHWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI Operesheni Kimbunga yasababisha serikali za Tanzania na Uganda, kushitakiwa mahakamani. Mwesigwa Rukutana & Co. Advocates pamoja na OSH Advocates mawakili wa walalamikaji 1240...
  14. Webabu

    Janga lingine laikumba Libya, mafuriko yaua Watu 6,000, wengine 10,000 hawajulikani walipo

    Mamia ya watu tayari wameshakufa huko nchini Libya karibu tu na Morocco ambako maelfu nako wamekufa kutokana na tetemeko la ardhi. Vifo vilivyoripotiwa Libya ni upande wa Benghazi ambako kumetokea maporomoko ya bwawa baada ya kimbunga kiitwacho Daniel kuikumba nchi hiyo ya kaskazini ya Afrika...
  15. B

    Kimbunga kikali chaipiga Mecca

    Mamlaka ya huduma za dharura na zile za usalama zimewataka raia na wageni mjini Makkah kuchukua tahadhari husika ili kujilinda na dhoruba ya upepo mkali, mvua na mafuriko iliyoikumba mji huu wa Mecca https://m.youtube.com/watch?v=ccpdPw-1T6E&pp Heaven has fallen on Mecca! People are blown away...
  16. benzemah

    Rais Samia atembelea Maeneo yaliyoathirika na Kimbunga Freddy, Blantyre nchini Malawi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  17. JanguKamaJangu

    Malawi: Watu 537 waliopotea baada ya Kimbunga Freddy kutangazwa kuwa wamekufa

    Ripoti ya Polisi imeeleza watu wengi wamepotea kwenye matope baada ya Dhoruba ya kimbunga, licha ya kutumia mbwa katika msako wa kuwatafuta bado imekuwa ngumu, hivyo wanaamini inawezekana wamepoteza maisha. Ripoti imeeleza baada ya msako wa siku 17 bado imekuwa ngumu kufanikisha zoezi hilo na...
  18. DR HAYA LAND

    Kwa mara ya kwanza nimesikia Tanzania wametoa msaada wa Chakula kwenda Malawi baada ya kukumbwa na Kimbunga

    It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga. Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi. Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
  19. BARD AI

    Malawi: Waliofariki kwa Mafuriko ya Kimbunga Freddy wazidi watu 400

    Idadi hiyo inajumuisha Vifo vilivyotokea tangu Kimbunga hicho kilipoingia Barani Afrika Februari 2023 ambapo watu 326 ni kutoka Malawi, 53 kutoka #Msumbiji na wengine 27 kutoka #Madagascar. Wizara ya Maliasili na Mabadiliko ya Hali ya Hewa imesema licha ya dhoruba kutoweka, bado Mvua kubwa...
  20. JanguKamaJangu

    Kimbunga Freddy chaua watu 109 Malawi na Msumbiji

    Idadi ya waliofariki upande wa #Malawi ni 99 na 10 kwa Msumbiji wakati 16 wakiwa hawajulikani walipo Nchini Malawi. Inaelezwa kutokana na mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali zaidi ya nyumba 300 zimeathiriwa wakati idadi ya watu walioathiriwa na Kimbunga hicho ni 1,350 Kusini mwa Malawi...
Back
Top Bottom