kipunguni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Bonnah Kamoli kushikilia shillingi ya waziri kuhusu Kipunguni ilikuwa danganya toto, hata wewe jamani

    Nilimsikia Mbuge wa Segerea akitoa notisi ya kushikilia shilingi ya Waziri wa Uchukuzi kuhusu malipo ya fidia Kipunguni A lakini ghafra ikawa kimya je kulikoni na wewe unatusaliti Mungu yupo naamini atatulipa tu. Asanteni sana kwa kututesa
  2. T

    Malipo ya fidia ya Kipunguni yatua Bungeni nani anakwamisha,tuikae CCM

    Ni aibu iliyoje kwa serikali kushindwa kulipa fidia Kipunguni kwa kipindi cha miaka 27 na zaidi. je mwenye kustahili kuwajibika Waziri wa fedha,Uchukuzi,TAA au Rais na mwenyekiti wa CCM,tuambiwe. Waziri Mkuu ingilia kati kuna mchezo mchafu.Mbunge Kamoli amelisemea sana sasa joma na iwe noma.Watu...
  3. Replica

    Mbunge Bonna Kamoli atishia bungeni sakata la wananchi Kipunguni kupisha Airport, hawajalipwa fidia miaka 27 sasa

    Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo Mei, 6, 2024 amesema ikiwa suala la fidia ya wananchi wa Kipunguni halitapatiwa maelezo ya kutosha, basi atashika shilingi na hataachia. Amesema suala hilo limechukua muda...
  4. D

    Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha kuwa malipo yako kwenye hatua za mwisho, mwezi wa nane yatafanyika. Na kuwa hakuna mkutano...
  5. K

    Wakazi wa Kipunguni Dar es Salaam ambao tuliteseka zaidi ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo

    Mheshimiwa Rais mama yetu mpendwa. Wakazi wa Kipunguni Dar salaam ambao tuliteseka Zaid ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo. Lakini tunaona siasa zimeanza maana mpaka Sasa bado hatujajua lini tutalipwa. Ingawa mmbunge wetu Segerea Bona Kimori...
  6. Pdidy

    Maendeleo Bank jihadharini na kampuni hii iliyopo Kipunguni, mtaumia!

    HIZI kampuni za kipunguni zinazojutangaza biashara za kuku na unga kabla ya kutoa mkopo.mjiridhishe ushauri tu
Back
Top Bottom