Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,202
20,678
Screen Shot 2024-05-10 at 12.15.34.png

Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.

Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza, Wamelipwa mabilioni isivyo halali, je hayo mabilioni yamewaumiza CHADEMA pekee ama sisi wananchi walipa kodi?
Je, Kuomba msamaha inatosha ama wazitapike mishahara haramu waliyopokesa kwa miaka 4 sasa?

Je, watu hawa unaweza kuwaamini na kukaa nao kwenye kamati hata ya "kusafisha chii cha shimo"?

Wabunge hao wanawake walifukuzwa uanachama Novemba 27, 2020 baada ya kwenda kuapishwa bungeni kuchukua nafasi 19 za viti maalumu ambazo zilisusiwa na CHADEMA.
Halima Mdee[ring leader], Gire Tendega, Matiko, ulaya, Lambart, Mke wa Kitenge yaani Nusrat Hanje, Jesca kishoa,Tunza malapo, Asia mohammed, Kaboyoka, Felister njau,Salome makamba. Rwemlaza konjessta,Antropia, Stella fiao
 
Walikuwa mahakamani, sasa limerudishwa kwenye chama, chama hakiwezi kukaa na watu a,mnbao si wanachama wake.
Hivyo msimamo wao ni wabunge wa mwendazake!
WAnanchi ndio sasa mmeulizwa mnawasamehe waendelee kutafuna hela yenu ya kodi?
waendelee chadema si waliwasusa baada ya mgogoro wa mbowe kutaka kuweka demu wake na kumuacha mdee mpambanaji naye akajiongeza
 
Chadema upande wao wa kuwafukuza walikwishakamilisha na bado wakalithibitisha mahakamani kuwalaumu ni kuwakosea wa kulaumiwa ni ccm Bunge Serikali na Tume ya Uchaguzi kuendelea kuwalipa mishahara wakati sio wabunge
Cheers!
Kama hao watatu wamegoma sasa CHADEMA warudishe kesi kwa wananchi.

Lissu atoe tamko!
 
View attachment 2986568

Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.

Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza, Wamelipwa mabilioni isivyo halali, je hayo mabilioni yamewaumiza CHADEMA pekee ama sisi wananchi walipa kodi?
Je, Kuomba msamaha inatosha ama wazitapike mishahara haramu waliyopokesa kwa miaka 4 sasa?

Je, watu hawa unaweza kuwaamini na kukaa nao kwenye kamati hata ya "kusafisha chii cha shimo"?

Wabunge hao wanawake walifukuzwa uanachama Novemba 27, 2020 baada ya kwenda kuapishwa bungeni kuchukua nafasi 19 za viti maalumu ambazo zilisusiwa na CHADEMA.
Halima Mdee[ring leader], Gire Tendega, Matiko, ulaya, Lambart, Mke wa Kitenge yaani Nusrat Hanje, Jesca kishoa,Tunza malapo, Asia mohammed, Kaboyoka, Felister njau,Salome makamba. Rwemlaza konjessta,Antropia, Stella fiao
WASALITI HAO HAWAFAI KURUDI CHADEMA WAKAOLEWE CCM
 
Kwahiyo "mbowe" wameachana na huyo demu wake ama bado wakp naye?
Mbowe ndio alimtoa gerezani Nusrat usiku saa saba akamuogesha na saa mbili akamuapisha kuwa mbunge?
mbowe alitaka kuweka demu wake amuache mdee wakamshitukia mdee kaenda kuapishwa maana ndiyo alikuwa amepitishwa na mnyika anajuwa na alisaini huu mchezo chadema wanaujuwa nyie huku nje mnademka tu bila kujuwa mchezo waliokuwa wanaucheza hao siyo kuwa hawana akili mpaka wajipeleke kuapishwa
 
Kina Mdee wanunue bahasha ya A3 watumbukize mishahara yao ya mwezi mmojammoja huku wakifunga mizinga miwili ya konyagi kwenye gift box na kumkabidhi mmiliki wa CHADEMA Mbowe. Wakati wanamkabidhi bahasha na mizinga ya Konyagi ndo wamwombe msamaha. Hiyo ishu ndogo sana wakifuata huu ushauri wangu. CHADEMA inawahitaji sana kina Mdee kuliko kina Mdee wanavyoihitaji CHADEMA.
 
Kwanini hamtakiwa waje UWT?
 
Back
Top Bottom