uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

    Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu...
  2. BARD AI

    Kwahiyo hapa RC Chalamila alihalalisha watu kuua tena, aagiza Polisi wafanye hilo waziwazi

    “Ukikuta kijana ameingia ndani kwa kuvunja dirisha ujue kuna mambo mawili ameyadhamiria. Jambo la kwanza amedhamiria kuiba na jambo la pili amedhamiria kuua na jambo la tatu amekubali kuuawa. Naomba nisisitize, jambo la tatu amekubali kuuawa, naomba nirudie, jambo la tatu amekubali kuuawa...
  3. A

    KERO Mkandarasi wa barabara ya Majichumvi-Migombani anatutesa kwa zaidi ya Mwezi sasa

    Barabara ya External kwenda Majichumvi eneo la Migombani (Majichumvi) inayopita OBAMA BAR kuanzia Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mianzini kutokezea njia Panda ya Bonyokwa na Segerea inatutesa sana. Mkandarasi alifunga njia kipindi chote cha mvua, tumeteseka vya kutosha maana diversion aliyotuelekeza...
  4. C

    Makonda kusikiliza kero zenye kesi Mahakamani Arusha, asema yupo tayari kupoteza chochote mradi mtu apate haki yake

    Mbona Makalla na Makonda wanakinzana? Kile kikao cha maadili alichoenda April hakikufanya kazi? Anataka kutuambia kuwa anakubali watu huwa wanaonewa kutokana na umasikini wao na hivyo kukosa haki? Kwamba bila ya kuwa na hela huwezi kutoboa Mahakamani? ===== Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul...
  5. T

    Uwajibikaji katika mahakama za masuala ya kazi (CMA) juu ya unyanyasaji kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
  6. J

    Je, nini kifanyike ili kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika Mapambano dhidi ya Rushwa?

    Je, unaridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Mamlaka katika kushughulikia Matukio na Taarifa za Rushwa na Ubadhirifu nchini? Unaweza kutoa maoni yako na kupendekeza njia Bora za kupambana na Rushwa kupitia Mjadala utakaoendeshwa na JamiiForums Jumatatu Mei 13, 2024 Saa 12:00 Jioni hadi 2:00...
  7. mackj

    SoC04 Wakurugenzi wa halimashauri wapatikane kwa mfumo wa ajira ili kuleta dhana ya utawala bora na uwajibikaji kwa wananchi na siyo kwa watawala

    UTANGULIZI. Ni makala ya story of change ya jamii forum, inayochochea mjadala wa kitaifa juu ya masuala mbalimbali, nami nikiwa nimeangazia dhana ya utawala bora nchini Tanzania, ili kuipata “Tazania tuitakayo” jina langu ni Makiwa Jumanne Ni hivi karibuni Taifa la Tanzania limetimiza miaka 63...
  8. Mkurya mweupe

    Nani anasimama nyuma ya Mwekezaji wa Soko la CCM Katoro Geita?

    Kwanza nipende kutoa shukrani kutokana na maboresho yaliyofanywa na mwekezaji katika kuboresha soko la CCM, Katoro Geita, Changamoto kubwa iliyoibuka baada ya Mwekezaji kushika hili soko ni unyanyasi mkubwa unaofanyika kwa wafanyabiashara wadogo wadogo, ikiwemo; 1. Mkuu wa mkoa wa Geita, ndugu...
  9. Manyanza

    Kwanini vetting ya viongozi wa Zanzibar hufanyika Tanzania bara?

    Vetting ya viongozi wa Zanzibar na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bara inafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni sehemu ya mfumo wa Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ulioundwa mwaka 1964. Vifungu vya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. Suley2019

    Unalichukuliaje suala la Wanasiasa kujitokeza Majimboni kutoa zawadi na kutatua kero za wananchi kwa mwaka huu?

    Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote? Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi? Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
  11. JF Toons

    Je, huwa unafuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)?

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma ili kuthibitisha matumizi yamefanywa kwa mujibu wa sheria na kanuni husika na kuna uwazi katika matumizi ya fedha hizo. Ufuatiliaji wa uwasilishwaji wa ripoti hizi ni muhimu kwa wananchi ili...
  12. P

    Ukiangalia vizuri mpotoshaji mkubwa ni serikali, kwanini inachukuliwa hatua pale tu mwananchi akipotosha?

    Wakuu kwema? Tumeshudia mara kadhaa wananchi wakichukuliwa hatua kwa makosa ya "Kusambaza taarifa za uongo" au kufanya "Upotoshaji", mfano wa juzi juzi hapa ni yule dada aliyeimba mnatuona manyani "Tanzania inaelekea wapi?" baada ya kuona shtaka la kusababisa uchochezi ni weak shataka likageuka...
  13. R

    Magari ya kuzoa takataka na yenyewe ni takataka, yanafanya nini barabarani?

    Wakuu salama? Hivi umeshawahi kukutana na gari la kuzoa taka lenye hali nzuri? Magari yote ambayo nimewahi kukutana nayo yanakuwa yameisha, yana hali mbaya, kutu kila pahala, yametoka, na yanajikokota kwelikweli kutoka eneo moja kwenda eneo jingine! Kwanini magari haya yanaruhusiwa kufanya...
  14. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kutumbua pekee hakutoshi, shtaki, funga wabadhirifu na wazembe ili kuleta uwajibikaji nchini

    Mheshimiwa Rais, nimekusikia ukisema unaweka pembeni wazembe na wale wasiowatumikia wananchi ipasavyo, hadi pale watakapojirekebisha ndio unawarudisha! Sasa mzembe asipochukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kushtakiwa Kwa kosa la kula mshahara Bure na uhujumu uchumi hawezi jifunza lolote...
  15. JF Toons

    Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

    Maamuzi yote yanayohusu nchi hufanyika chini ya mwamvuli wa siasa, ni muhimu kwa kila raia kujua kinachoendelea ili kupata taarifa sahihi zitakazomuwezesha kufanya maamuzi sahihi pale anapochagua kiongozi. Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?
  16. JF Toons

    Ni ahadi zipi zilitolewa na kiongozi wako ambazo hazijatekelezwa mpaka sasa?

    Si vyema kuweka ahadi ambazo unajua huwezi kuzitimiza au zisizotekelezeka. Baadhi ya watu hupatwa na msongo wa mawazo na kupoteza uaminifu kwa kushindwa kutimiza ahadi. Uwekapo ahadi hugeuka deni, na usiku wa deni haukawii kukucha. Je, ni ahadi zipi ziliwekwa na kiongozi wako ambazo...
  17. R

    Ni wajibu wa TANESCO kutoa fidia pale Tatizo la Umeme linaposababisha hasara, umewahi kudai fidia hiyo?

    Wakuu kwema? Kulingana na Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa TANESCO, mteja ukipata hasara kutokana tatizo la umeme, TANESCO inatakiwa kumfidia mteja huyo. Kipengele hiki kinasema; "Kuwafidia wateja pale ambapo tatizo la umeme limesababisha uharibifu wa mali baada ya kuwa imehakikishwa kwamba...
Back
Top Bottom