vetting

Vetting is the process of performing a background check on someone before offering them employment, conferring an award, or doing fact-checking prior to making any decision. In addition, in intelligence gathering, assets are vetted to determine their usefulness.

View More On Wikipedia.org
  1. Manyanza

    Kwanini vetting ya viongozi wa Zanzibar hufanyika Tanzania bara?

    Vetting ya viongozi wa Zanzibar na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bara inafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni sehemu ya mfumo wa Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ulioundwa mwaka 1964. Vifungu vya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. BARD AI

    Mamlaka za Uteuzi wa Viongozi zinadhihirisha wazi kuna tatizo kwenye utaratibu wa "Vetting"

    Kwa muda wa miaka 3 ya utawala wa Rais Samia, kumekuwa na Teuzi na Tenguzi au kubadilishwa kwa nafasi za Kiutawala kwa wanaoteuliwa na wakati mwingine bila hata kuelezwa sababu. Samia amekuwa akiteua na kutengua au kuwarejesha watu walioondolewa kazini kwa sababu mbalimbali. Na wapo ambao...
  3. R

    Macho ya kinabii yatumike kuboresha vetting zetu nchini

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTON. Napoongelea macho ya kinabii, Siongelei hao mnaowaita wazee wa kamati, HAPANA. Pia sichanganyi dini na siasa, sababu Asili ya Siasa ni Mbinguni, sasa Mwana wa Mungu nakupa codes Kutoka JUU, ambazo zaweza kututoa hapa kwenye mkwamo. Wakati Nchi zilizoendelea...
  4. R

    Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  5. ESCORT 1

    Nani hufanya vetting pindi Rais akihitaji kupata kiongozi?

    Ni akina nani wanahusika na suala la kufanya vetting? Rais anateua mtu ndani ya muda mchache anamtengua, mara kadhaa makosa haya yanajirudia. Rais anapewa mtu ambaye sio sahihi. DC wa Sumbawanga alifanyiwa vetting? Diwani Athumani alipotolewa Idarani na kupelekwa Katibu Mkuu Ikulu uteuzi...
  6. Bams

    Rais, Fukuza Washauri Wanaofanya Vetting

    Urais ni taasisi kubwa sana, unaotegemea sana utendaji wa idara mbalimbali. Idara hizo zisispofanya kazi vizuri, lawama zote zinaenda kwa Rais na Serikali nzima. Ukweli ni kwamba, hata kama tutakuwa na pesa nyingi kiasi gani, hata tukawa na vyanzo vya kuingiza pesa nyingi kiasi gani, bila ya...
  7. Shujaa Mwendazake

    Mabondia wanaokuja Bongo wanafanyiwa Vetting?

    Huyu dogo anayepambana na Tony Rashid mbona sifa zilikuwa nyingi na anaonekana anakwenda kupoteza pambano. Hizi trends za wabongo kushinda , je ni wako bora sana Africa au tunamdanganya nani? Ni wakati sasa na wao kutoka kwenda S.Africa na sehemu nyingine kututhibitishia lakini si kwa hii...
  8. D

    Utaratibu wa uhakiki vyeti (Vetting) Tanzania ni wa ovyo sana! Unapotezea watu muda pasipo sababu

    Kusema ukweli! Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana! Mfano...
  9. N

    CCM ifanye vetting ya chawa

    Siku za nyuma kidogo kulikua na tuhuma kwamba kuna watu wameandaliwa na chama tawala kuja kutetea kila kitu kinachofanywa na serikali huku mitandaoni kwa malipo ya shilingi 7000 kwa siku, sina uhakika kama izo tuhuma zilikua za kweli Lakini matokeo tunayaona mitandaoni, kuna wapambe ambao...
  10. Lord denning

    Mkapa aliamini kwenye Vetting, Kikwete Vetting na uswahiba, Magufuli uzandiki na uchawa, Rais Samia...

    Niko na mzee wangu aliyefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sana. Ananiambia Marehemu Mzee Mkapa kwenye teuzi zake aliangalia sana Vetting uliyofanyiwa inasemaje hasa kwenye uwezo wako kikazi, na Mambo ya msingi tu. Kwa kikwete yeye alimix Vetting inasemaje na uswahiba Kwa magufuli hapa...
  11. mcTobby

    Wanaofanya vetting ya viongozi nao wafanyiwe vetting

    Kila nikijaribu kuvuta picha ya aina ya viongozi tulionao hususan kwenye mashirika na taasisi nyeti za nchi napata mashaka makubwa sana kama taifa tutapiga hatua za kimaendeleo ambazo kila mmoja wetu anatamani zifanikiwe kwenye taifa hili. Je, wafanya vetting hawako vigilant kutambua ya kwamba...
  12. Lord OSAGYEFO

    Vetting ya viongozi ni muhimu sana, kuna wenye kashfa

    Nadhani mamlaka zinazomsaidia Mh.Rais kupata wateule ni vema zikawa makini sana kwenye kipengele cha vetting. Wateule wengi pamoja na udhaifu wa binadamu wana kashfa za kujitakia ambazo ni aibu kwa wananchi. Kitendo cha mteuliwa kuwa na kashfa ya ngono, wizi, utoro kazini ni aibu kwa wananchi...
  13. Chief Kabikula

    Teuzi za Wakuu wa Wilaya: Je, wamefanyiwa vetting?

    Mkeka wa wakuu wa wilaya umetoka walioteuliwa wameonekana ambapo wengi ni watangazaji, wasanii, waigizaji na wengi ni vijana kweli. Swali la msingi sio kuteuliwa bali ni je wamefanyiwa vetting kujua elimu yao, uwezo, tabia, mienendo, uzoefu, busara, hekima na makandondokando yao mengine na...
Back
Top Bottom