facebook

  1. LIKUD

    Ukweli mchungu: Kibiashara Facebook is more powerful than Instagram

    Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali. Hajui chochote kuhusu business. For your information Facebook is more better in business than instagram. Ina watu wengi sana ambao wapo active na wanafikika kwa kirahisi sana kuliko Instagram. # Facebook...
  2. Suley2019

    Umoja wa Ulaya kuchunguza uraibu katika Instagram na Facebook

    Umoja wa Ulaya unachunguza Facebook na Instagram ikiwa zinaweza kuwa na uraibu wa kiwango cha juu kiasi kwamba zinakuwa na "athari mbaya" kwa "afya ya mwili na akili" ya watoto. Pia itachunguza kama wamefanya vya kutosha kuhakikisha kuwa watumiaji ni wa umri unaoruhusiwa kuzitumia, na jinsi...
  3. S

    Facebook ina mpango gani na accounts zetu tulizosahau password tangu 2010's?

    Kama kichwa kinavyojieleza. Anayejua jinsi ya kufanya hizo accounts zikafungwa kwa namna yoyote.
  4. halfcastmangi

    Hivi umewahi add rafiki facebook hasa wa jinsia ya kike na ukakutana na hili?

    Wadau hivi umewahi add rafiki wa kike Facebook kutokana na ile friends suggestions halafu ukaja kushangaa kwenye story pale juu katika profile yako unamuona huyo rafiki kaweka story yenye viashiria vya ngono? Huwa unaendelea naye kama friend au unamtoa fasta? Jana nime mu add dada mmoja, aisee...
  5. A

    Facebook bado wanaona jina "Bin laden" kama (u)gaidi!

    Mtandao wa kijamii wa Facebook ambao unamolikiwa na kampuni ya Meta ambayo pia ni mmiliki wa whatsApp, Instagram na Threads wameweka restrictions kwenye baadhi ya vitu unavyovi-search unapotumia mtandao. Mfano upo hapo chini, baada ya kujaribu ku-search neno "Bin Laden" niliishia kupata ujumbe...
  6. T

    Tanzania Inakabiliwa na Changamoto ya Maudhui Haramu kwenye Facebook

    Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na heshima mtandaoni. Nawahasisha watumiaji kushiriki kwenye mjadala huu muhimu. Je, una maoni gani...
  7. W

    Facebook na Instagram kuanza kuwalipa waandaji maudhui mitandaoni Africa kuanzia Juni 2024

    Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Afrika Kusini, Shelisheli, Senegal, Rwanda, Nigeria, na Kenya. Kampeni hiyo inatarajiwa...
  8. ndege JOHN

    Reels za Facebook zinakula MB's kuliko hata video za YouTube

    Hivi hii imekaaje yaani video clip vya facebook ukiviangalia dakika kumi tu zinakausha data Balaa hata GB 1 fasta inakata. Wakati unaweza kuangalia YouTube muda mrefu tu.
  9. Nyamesocho

    Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Katika hali ya kusikitisha kuna wimbi la picha za ngono zinatembea mtandao wa Facebook huku Tanzania na Kenya huku wasambazaji wakiwatagg marafiki kupitia profile zao ambapo inaleta aibu kama upo na mtu wa heshima katika friendlists wako wa Facebook. Baadhi ya wananchi wanaotumia mtandao huo...
  10. Gulio Tanzania

    Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa Kuna kitu...
  11. Lycaon pictus

    Niulize chochote kuhusu matangazo ya kulipia Facebook na Instagram

    Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko. So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu. Nikishindwa watakuja wataalamu zaidi na mimi nitazidi kujifunza. Karibuni.
  12. Mhaya

    Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
  13. P

    Wapi kuna matokeo mazuri baada ya kuboost/kufanya sponsor post ya biashara kati ya facebook na instagram

    Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako?? Kwenye wateja namaaanisha Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
  14. U

    Hivi ndivyo account za facebook zinavyodukuliwa, chukua tahadhari, chunga account yako

    Wadukuaji wanaiba account za wengine kufanyia shughuli ambazo wanaogopa kuzifanyia kwenye account zao au ndugu zao, shughuli hizi ni: kuposti picha / video za uchi, kuposti linki kwenye magroup kuziuza account, kuweka link na kuwatag marafiki kutapeli kutukana / kudhalilisha watu maarufu, n.k...
  15. R

    Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta wakidai Instagram na Facebook inatengeneza uraibu na kudhuru watoto

    Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto...
  16. L

    Mwaka Jana nilikuwa na mpango wa kutoa kitabu cha Facebook Ads Manager, lakini sikufanikiwa kwa sababu hii

    Kwenye laptop niliyokuwa ninatumia kukiandaa, nilikuwa nimetengeneza Folder maalumu kwa ajili ya kazi hiyo. Ndani yake nilijaza screenshot ya hatua zote (muhimu) ambazo mtu yeyote (beginner) anaweza akazifuata na kuishia kutengeneza matangazo ya Sponsored ads yenye matokeo mazuri. Ila kila...
  17. Ben-adam

    Facebook wananitafuta visa na kutishia maisha account yangu

    habari zenu ndugu zangu wa ukoo wa jf! Facebook sasa naona visa haviishi, mimi siwaelewi Juzi kati hapa walifunga account yangu wakidai kwamba waliona shughuli isiyokuwa ya kawaida kwenye account yangu (kwa mujibu wa maelezo yao) Nikasema hivyo tu, nikarudisha akaunti yangu nikatembelea...
  18. F

    Account facebook kuwa hacked na kubadilishwa password

    Kuna rafiki yangu anasema account yake ya facebook wameibadili password na email aliyotumia kufungulia...ila anasema wahuni walianza kuingia na kupost vitu vya ajabu hapo awali kabla hawajambadilishia hizo taarifa zake. Anaomba msaada namna ya kurudisha account yake kwani alishaizoea na ina...
  19. Rayns

    Kama jibu lake ni ndiyo, swali lako litakuwa lipi?

    Nimeona haka kamchezo kwenye jamii moja hivi 🤣🤣🤣 M-tag member aje atoe swali ambalo jibu Lake ni "ndio" Yaani umjibu "ndio" then aje aulize swali🤣🤣🤣
Back
Top Bottom