mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki the Storyteller

    Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

    Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?
  2. mrangi

    Watanzania ubinadamu unazidi kupotea

    Hii video nimetumiwa, jamaa huko mwanza kajirusha alikuwa kwenye daraja la mabatini. Chanzo inasemekana mambo ya mapenzi. Tukirudi kwenye hiyo video ukiangalia, wakati yuko juu watu wanampita hawana hata habari naye hakuna hata mtu anafanya maamuzi ya kumzuia. Ukija huko chini napo mijitu...
  3. N

    Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

    Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.
  4. Erythrocyte

    Sasa ni dhahiri Maandamano ya CHADEMA yanafuatiliwa na kila Mtanzania

    Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya kuhusu maandamano hayo, huku wengine wakiyaita matembezi ya mshikamano, Jogging, matembezi ya...
  5. Huihui2

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    A Tanzania national arrested at Bole Airport with 1.34 KG of cocaine on 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport...
  6. kipara kipya

    Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi

    Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi Ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma wa Msumbiji imemtaja mwanamke Mtanzania miongoni mwa watu 16 walioshitakiwa kwa tuhuma za kuunga mkono harakati za wanamgambo kaskazini mwa Mkoa wa Cabo Delgado, shirika la habari la...
  7. U

    Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike zaidi. sikumbuki vizuri kilichotokea lakini fastjet waliondoka akabaki air Tanzania peke yake kama...
  8. D

    Mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay aangukia pua Boston Marathon 2024. Je, nini kimemkuta ndugu yetu?

    BOSTON MARATHON Tarehe 15 April 2024 tumeshuhudia mwanariadha wa ETHIOPIA Sisay Lemma akitimua mbio za pace ya juu kwanzia KM ya 7 mpaka 42 na kumbwaga ndugu yetu GABRIEL GEAY kwani hatukumuona tena hata finishing line hakufika. Je, nini kilitokea? Wadau tujuzane manake bongo ukishinda...
  9. B

    TAMISEMI kuwasilisha bajeti yake bungeni kesho 16/04/2024

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2024/25. Hii ni Wizara ya Wananchi, basi kesho Watanzania wote...
  10. ndege JOHN

    Bruce Africa bonge la artist ila biography yake nimeikosa hivi ni mtanzania au mkenya?

    Huyu kijana anakuja kwa speed kama vile katupwa kutoka kwa juu Ana nyimbo zake hazichoshi ila naona hajapewa sana airtime me mpaka sasa hivi sijajua ni mtanzania au mkenya?
  11. Meneja Wa Makampuni

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali. Source ya hii habari...
  12. M

    TANESCO na Serikali walipeni watu fidia wahamishwe Rufiji. Bwawa la Umeme ni muhimu. Kila Mtanzania achangie fidia kwa kuongezewa 1000 kwenye Luku

    Bwawa la umeme Rufiji ni muhimu sana kwa nchi nzima. hivyo tunapaswa wa Tanzania wote kulilinda bwawa lisibomoke kwa kuchangia pesa za fidia ya kuhamisha watu wote wa rufiji maana umeme tunautaka wote Tanzania nzima Hali ya rufiji ni mbaya. nawaza tu kwa nini serikali isiwahamishe wakazi...
  13. Ofisho mlinzi

    Unafuu wa maisha na ugumu wa maisha ya Mtanzania huletwa na yeye mwenyewe

    Awali ya yote niwasalimu ndugu na wadau wa jamii forum ,pili nikushukuru wewe unaelisoma andiko hili tatu na mwisho nikuombe wewe ikiwa unaguswa na haya basi tumia nafasi ulio nayo bila kupima udogo ama ukubwa wake kuisaidia jamii yetu ipate kuwa na ufahamu amabao utasadia miongoni mwa wengi...
  14. BARD AI

    Lawrance Mafuru: Dira ya Taifa inataka kila Mtanzania awe na kipato cha Dola 3,000 (Tsh. Milioni 7+) mwaka 2025

    Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amesema, Dira ya sasa ilikuwa baada ya mchakato wa miaka mitatu kuanzia mwaka 1997- 99, chini ya uongozi wa Rais Benjamin Mkapa. Na walikuwa wamejiwekea malengo kadhaa. Na tumefanikiwa au hatujafanikiwa? Mwaka 2000 walisema...
  15. GENTAMYCINE

    Ni Mtanzania Mwendawazimu tu hatoweza Kuishangilia Yanga SC iliyo Bora kuliko Simba SC ikicheza na Mamelodi Sundowns FC leo Usiku

    Kuna Diarra kuna Baka kuna Aucho kuna Aziz K kuna Pacome na kuna Musonda na Guede yaani GENTAMYCINE nitaachaje Kuwashangilia na nimshangilie Nuksi Kapombe na Mpuuzi Onana? Kila la Kheri Yanga SC baadae leo.
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

    🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦 Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati....... Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike...... Mike Tanzania anatokea kinondoni...... Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
  17. BARD AI

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Pato la kila Mtanzania ni Tsh. 3,048,681

    Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi, amesema Tanzania imeendelea kuwa katika kundi la Nchi zenye uchumi wa pato la kati, ikimaanisha pato la wastani la kila Mwanachi kwa mwaka (GNI per capital) ambapo mwaka 2019 ilikuwa dola 1,080 (Tsh. 2,743,813) lakini kwa mwaka 2022 ni dola 1,200 ( Tsh...
  18. MK254

    Magaidi ya ADF yakiongozwa na Mtanzania yaingia Uganda

    Magaidi ya ADF yenye mlengo wa dini ya kislamu yakiongozwa na Mtanzania Ahamed Muhamood Hasssan, yameingia Uganda, jeshi limetoa tahadhari. Jameni hampumziki kwenye huu mwezi wenu. ============ KAMPALA, March 18 (Xinhua) - The Ugandan military on Monday urged the public to be on alert after...
  19. I

    Kwanini wapo watu wanamuomba Rais Samia Suluhu kuendelea kuwa Rais wa Tanzania?

    Na Mwl Udadis, DSM-CBD Kwa sisi waumini wa makanisa ya Orthodox tunaamini sana katika kweli isiyochanganywa na busara za waja japo tunaheshimu sana imani za watu wengine. Natumia falsafa ya kweli hiyo ninayoiishi kukupa ujumbe ambao unaoweza kukupa picha ya yajayo katika uga wa siasa za...
Back
Top Bottom