Sasa ni dhahiri Maandamano ya CHADEMA yanafuatiliwa na kila Mtanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,443
219,959
Screenshot_2024-04-27-11-08-05-1.png

Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya kuhusu maandamano hayo, huku wengine wakiyaita matembezi ya mshikamano, Jogging, matembezi ya waliokosa kazi, matembezi ya Wajinga, Wahuni, Washenzi na kila jina baya unalolijua.

Bali sasa imedhihirika kote duniani kwamba Maandamano hayo yamechoma serikali yote hadi imebaki Majivu , Hakuna kiongozi wa ccm ambaye hajaona Maandamano hayo kote yanakopita , Mijadala yote ya Mwezi April kwenye Maofisi ya serikali , maofisi ya ccm na Bungeni inahusu maandamano ya Chadema, huku Mijadala ya Bunge la Bajeti ikizimika kama Kibatari Jangwani.

Tafsiri ya Jambo hili ni kwamba, Maandamano ya Chadema yamefanikiwa na bila shaka Dunia nzima imefahamu kwamba Tanzania Imekumbwa na Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu kabisa za Uchaguzi kuliko nchi yoyote Duniani, Kilio cha Nape Nnauye leo Bungeni kuhusu Spana za Lissu ni sehemu ya Ushahidi wa Maandamano haya kugonga mfupa wa CCM.

Mungu Ibariki Chadema .
 
Hapa tunacomment vipi, next time usseme basi hata yaliyoendelea huko. Mnatuacha njia panda sisi tusiofahamu kitu.
 
View attachment 2977093

Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya kuhusu maandamano hayo, huku wengine wakiyaita matembezi ya mshikamano, Jogging, matembezi ya waliokosa kazi, matembezi ya Wajinga, Wahuni, Washenzi na kila jina baya unalolijua.

Bali sasa imedhihirika kote duniani kwamba Maandamano hayo yamechoma serikali yote hadi imebaki Majivu , Hakuna kiongozi wa ccm ambaye hajaona Maandamano hayo kote yanakopita , Mijadala yote ya Mwezi April kwenye Maofisi ya serikali , maofisi ya ccm na Bungeni inahusu maandamano ya Chadema, huku Mijadala ya Bunge la Bajeti ikizimika kama Kibatari Jangwani.

Tafsiri ya Jambo hili ni kwamba, Maandamano ya Chadema yamefanikiwa na bila shaka Dunia nzima imefahamu kwamba Tanzania Imekumbwa na Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu kabisa za Uchaguzi kuliko nchi yoyote Duniani, Kilio cha Nape Nnauye leo Bungeni kuhusu Spana za Lissu ni sehemu ya Ushahidi wa Maandamano haya kugonga mfupa wa CCM.

Mungu Ibariki Chadema .
Hatari sana watu wote wanaona nyeupe lakini wewe umeng'ang'ania nyeusi!
 
Kama Makonda aliitwa kamati kuu na kuelezwa Watu wengi hawakuwa wanajuwa Raisi anatukanwa mitandaoni Makonda kwa kuliweka wazi kwenye kumbukumbu ya Sokoine ndiye amewafungua masikio watu wengi kufuatilia matusi

Iweke Nape nae asitwe
Kwaniametufungua sisi ambao hatukuwepo kwenye mkutano wa Lisu Idodomia?
 
Back
Top Bottom