CHADEMA Diaspora kufanya Maandamano makubwa Ulaya na Marekani muda wowote kuanzia sasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,182
219,328
Wakati wakitangaza wiki ya Maandamano, viongozi wa Chadema walisema kwenye Azimio la Mtwara limeagiza Wanachadema wote walio nje ya Nchi waandae maandamano ya kupinga Ugumu wa Maisha nchini Tanzania na Sheria mbovu za uchaguzi hukohuko walipo.

Ambapo ilielekezwa Maandamano hayo yaishie kwenye Balozi au kwenye Taasisi za Kimataifa, ili kufikisha Ujumbe na kuweka shinikizo la Kimataifa.

Sasa Taarifa tuliyonayo ni kwamba, maandalizi ya jambo hilo yamekamilika katika Majiji kadhaa ya Ulaya na USA, na muda wowote kuanzia sasa Maandamano hayo yatavurumishwa bila huruma yoyote.

Tunawashukuru sana Wazungu kwa kuruhusu Maandamano ya watanzania kwenye Nchi zao huku wakiahidi Ulinzi wa Polisi uliotukuka.
 
Wakati wakitangaza wiki ya Maandamano , viongozi wa Chadema walisema kwenye Azimio la Mtwara limeagiza Wanachadema wote walio nje ya Nchi waandae maandamano ya kupinga Ugumu wa Maisha nchini Tanzania na Sheria mbovu za uchaguzi hukohuko walipo .

Ambapo ilielekezwa Maandamano hayo yaishie kwenye Balozi au kwenye Taasisi za Kimataifa , ili kufikisha Ujumbe na kuweka shinikizo la Kimataifa .

Sasa Taarifa tuliyonayo ni kwamba , maandalizi ya jambo hilo yamekamilika katika Majiji kadhaa ya Ulaya na USA , na muda wowote kuanzia sasa Maandamano hayo yatavurumishwa bila huruma yoyote .

Tunawashukuru sana Wazungu kwa kuruhusu Maandamano ya watanzania kwenye Nchi zao huku wakiahidi Ulinzi wa Polisi uliotukuka .
Wafanye tu kwa kweli na ulinzi wapewe!
 
hahahah daaaah mambo ya siasa kuna wakati yanafanya tu mtu ucheke bila sababu, Kwa hiyo watakutania wapi au ndo kila mmoja aandamane akiwa kwenye nchi yake?
 
CHADEMA mmeshapuuzwa na mamilioni ya watanzania kwa sasa ,baada ya kujulikana kuwa ninyi ni madalali na matapeli wa kisiasa.

Na sarakasi zote hizi ni kwa kuwa Mbowe anataka kubakia tena kwenye Uwenyekiti wake wa Sacco's.
 
hahahah daaaah mambo ya siasa kuna wakati yanafanya tu mtu ucheke bila sababu, Kwa hiyo watakutania wapi au ndo kila mmoja aandamane akiwa kwenye nchi yake?
Uwezo wako wa kuelewa uko Chini sana !
 
Back
Top Bottom