Bruce Africa bonge la artist ila biography yake nimeikosa hivi ni mtanzania au mkenya?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,945
45,921
Huyu kijana anakuja kwa speed kama vile katupwa kutoka kwa juu Ana nyimbo zake hazichoshi ila naona hajapewa sana airtime me mpaka sasa hivi sijajua ni mtanzania au mkenya?
 
Kuna Bruce Afrika na Bruce melody hayo majina huwa yanachanganya ila nachojua mmoja ni mtanzania na mwingine ni Mnyarwanda.
 
Bruce Afrika chalii ya R Olasilonga huko chugastan.. Kuna manzi angu anampenda Sana jamaa..
 
nilikuwa nafikiria ni mimi peke yangu nimemuona. Kiukweli jamaa anajua kuna ka melody fulani unakapata akiwa anaimba na vibes fulani kutoka nigeria, Ghana na Bongo.
Amekosa Airtime ya kutosha.
 
Back
Top Bottom