smartphone

  1. contask

    Jinsi smartphone used ilivyonipeleka polisi

    Habari wanajukwaa, Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo Road, nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi wetu. Mimi ni kijana nipo chuo fulani nikiwa najihusisha kuuza...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
  3. Arnold Kalikawe

    Blackberry na Nokia zilipendwa sana miaka ya nyuma, ila walikuja kuanguka vibaya sana

    Blackberry na Nokia yameanguka, tena yameanguka sana. Pamoja na kuwa na simu kali zenye kamera nzuri, speed kubwa ila wakaanguka. Walianguka kwa sababu hawakuwa na viongozi wenye kufocus ulimwengu jinsi ulivyo. Yaani walikuwa katika miaka ya 2000 lakini akili zao zilikuwa zinafanya kazi ya...
  4. Balqior

    Msaada: Nina MB's za kutosha kwenye smartphone yangu, ila mobile data haifanyi kazi

    Habarini Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati chochote, sasa najiuliza hili tatizo ni kwangu kwenye simu yangu, au ni watoa huduma wa voda Wana...
  5. chris emex

    Phone4Sale Poogle Pixel for sale

    150,000tsh call 0628 880 380 Pixel 4a 5G kila kitu kipo poa mstari tu umejichoraa
  6. kyakakombo

    Anayejua ubora wa smartphone za Kingkong

    Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
  7. Masikio Masikio

    Exposure unaipata sehemu yoyote ile as long un smartphone na bando

    Bado kuna watu wanaamini ili uwe na exposure lazima uende abroad kwa dunia ya science na technologia unahitaji tu simu yako ya smartphone na bando utajifunza jambo ambalo unalitaka Sikatazi watu kwenda abroad kama umepata nafasi ni vizuri ila kama hujapata wekeza mda wako kwenye kuperuzi mambo...
  8. DR Mambo Jambo

    Kampuni ya Energizer imeanza kutengeneza Simu ya Smartphone Yenye Uwezo wa kukaa na Chaji kwa Muda wa usiopungua Siku 50 bila kucharge tena

    Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako. Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu...
  9. chris emex

    Phone4Sale Google Pixel 4a 5G

    Call 0628880380 OFFER kwa 270tsh Google Pixel 4a 5G-Resolution 1080 x 2340 pixels,-Android 14-128GB storage -6GB RAM
  10. sky soldier

    Najihisi nimekuwa mraibu, Wangapi mmeweza kutumia smartphone / laptop siku nzima bila kutumia internet ?

    Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle. Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu. Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
  11. The bump

    Mkazi wa Morogoro Mjini mwenye smartphone inayotoa picha nzuri, nakupa 12,000 unipigie picha Unitumie

    Kama Unaishi Morogoro mjini naomba msaada wako wa hali na mali. Kuna tangazo la nyumba nimelipost Jana watu wengi wanunuzi wanahitaji Picha, lakini ubaya ni kwamba picha zinashindwa kupatikana kutokana na watu kukosa simu zenye ubora...
  12. S

    Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

    Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja? Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Ulanga, Salim Almas agawa Smartphone 63 (Milioni 7) kwa Wajumbe wa CCM Wilaya

    MBUNGE SALIM ALMAS AGAWA SMARTPHONE 63 KWA WAJUMBE WA CCM Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Mhe. Salim Almas amegawa simu janja (smartphone) 63 zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni Saba (07) kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ulanga ili kurahisisha mawasiliano na kupeana taarifa...
  14. H

    Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

    Habari. Nina mwezi wa tatu sàsa natumia tecno yaani hadi nakoma.Yaani ni stress tupu nashindwa kuizoea mara inepeleke kule mara huko nikirudi huku inanitoa nje mara iminimize yenyewe nikibonyeza huku inarudi juu..mara casa ikwame inanitizama tu kama bundi sàsa sijui tatizo ni mimi au simu yaani...
  15. J

    Ulikuwa na ujuzi wowote wa kidigitali ulipoanza kutumia smartphone?

    Ujuzi wa Kidigitali umekuwa hitaji la msingi katika Miaka ya hivi karibuni. Lakini je, hujawahi kukutana na Mtu anayepata changamoto kutumia Kifaa cha Kidigitali? Hii inakupa picha gani? Ni ngumu kwa Wananchi kutumia na kufaidika kikamilifu na Intaneti ikiwa hawana Ujuzi unaohitajika.
  16. Msokwa1

    Phone4Sale NAUZA SMARTPHONE OPPO R7 PLUS

    nina smartphone aina ya oppo r7 plus yenye sifa zifuatazo:- 64GB storage 4GB ram 6.6 inches display size aina ya omoled yenye graphic kali sana 13mp back camera yenye kuonyesha kitu katika ubora wa hali ya juu. napatikana bagamoyo pwani kwa simu nambari 0748106950 nahitaji 130k kwa hii simu...
  17. Karanga Mwitu

    Msaada: Smartphone yangu haiunganishi wireless internet kwenye kompyuta yangu

    Habari wanaJF?, Natumai mko poa Sana, mwenzenu Nina changamoto Nina simu ya Aina ya infinix, hapo mwanzo nilikua nakonnect vizuri kwenye computer. Sasa hivi karibuni nimekonnect Mara kadhaa haikubali inasema " Window unable to connect". Nimejaribu kutumia Tecno, imezingua ila nimetumia simu...
  18. TECNO Tanzania

    Je, umeshajua umuhimu wa processor kwenye simu yako na processor ipi ni bora zaidi?

    Jina sahihi la processor zilizopo ndani ya simu ni CHIPSET kwa kifupi CHIP. Processor ni moja ya kitu ambacho huisaidia simu yako kufanya kazi kwa ufasini na ni kama ubongo au injini ya simu yako. Hiki ni Kichakataji chenye kasi zaidi kwenye simu na ni sehemu muhimu sana. Katika simu yako...
  19. V

    Phone4Sale Smartphone for sale

    Infinix full box kasoro headphone 32GB storage clean as new nakupa na box lake infinix smart 6 bei 140,000/= 0753595520 Dar
  20. Papa Mopao

    Unaweza kukaa mbali na matumizi ya smartphone kwa sasa?

    Habari zenu wanajamvi? Natumai shughuli zenu zinakwenda vizuri huko mlipo. Leo nakuja na hii mada japo ni la kawaida lakini inaweza kutusaidia kutupa picha ya utofauti kati ya matumizi ndani ya simu za kawaida na hizi za kucharaza vidole simu za smartphone tuite hivyo. Sasa je, unaweza kukaa...
Back
Top Bottom