smartphone

  1. steve_shemej

    Jinsi ya kutumia simu yako kama CCTV camera

    Ni raisi sana kuiset smartphone yako iwe kama CCTV camera, IPwebcam ndio suluisho la tatizo ilo. Fatana name mpaka mwisho wa Tutorial hii. IPwebcam is easily the best of the lot because it works through your browser, which gives it the cross platform compatibility. Ili kuset simu yako iwe kama...
  2. Sky Eclat

    Utandawazi umesaidia sana kuingiza kipato katika jamii, smartphone ni mtaji wa maisha

    Huku kwetu Buzza mpaka Kwamtogole ukiwa na smartphone unajiunga na Instagram unatangaza uwezo wako wa kitu chochote unachoweza kufanya. Shughuli isiyohitaji mtaji mkubwa ni kufanya kazi za ndani. Kufua, kupiga pasi, kusafisha vyombo, usafi wa nyumba, kupika nk. Si watu wengi wanahitaji...
  3. ndege JOHN

    Hisia za mapenzi hamna siku hizi kwa sababu ya hizi smartphone

    Sasa hivi watu wako busy kuperuzi mitandaoni kwani dunia ni kama Kijiji mtu unapata vyote ambavyo unavihitaji.. Ukitaka kufurahi na kuvunja mbavu huitaji mpenzi akuchekeshe unaingia katika page za vituko unakutana na comedy. Ukitaka mtu wa kufanya naye sex unaingia tu katika site za X...
  4. FRANC THE GREAT

    Huawei yageukia kwenye ufugaji wa nguruwe kutokana na kushuka kwa mauzo ya smartphone

    Habari! Kampuni kubwa ya teknolojia ya Kichina Huawei (Huawei Technologies Co., Ltd.) imezindua mradi wa ufugaji wa nguruwe kupitia teknolojia ya Akili Bandia (Artificial Intelligence) Jumatatu wakati kampuni hiyo ikigeukia katika maeneo mengine ya kibiashara wakati biashara yake ya simu janja...
  5. Rwaz

    Watumiaj wakongwe wa smartphone: Mtandao ambao isipite siku hujachungulia

    Asalaam aleikum. Kila siku kuna watumiaj wapya wa mitandao mbalimbali ya kijamii na internet kwa ujumla. Nichukue ukurasa huu tusaidiane kujua mitandao yenye faida kwa kila mpenda habar, maono, hekma na mambo ya kufaidisha kupitia simu ya mhusika. Wengine wanakuwa na hamu tu ya kumilik simu...
  6. H

    Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

    heri nikose apps zote kwenye simu ila sio hizi mbili 🤣 🤣 🤣 🤣 apple music kwa ajili ya kusikiliza miziki amazon kindle kwa ajili ya vitabu labda naweza pata ya ziada apa
  7. R

    #COVID19 Tatizo sio chanjo ya COVID19! Tatizo chanjo imekuja kipindi cha utandawazi kila mtu ana smartphone kila mtu mjuaji

    Habari wadau, Leo nimeamua kuingia kwenye hii fani ya udaktari ili nami niweke neno kaa hapa chin basi uongeze maarifa. Ok nadhan kila mtu anajua kwa sasa kuna vuguvugu la chanjo dunia mzima tena mbaya zaid chanjo imekuja kipind ambacho kila mtu anamtizama mwenzake kwa jicho la mnafiki kuna...
  8. D

    Hata wakati zinaingia simu janja (smartphone) tuliaminishana ujinga kwamba ni za mpinga Kristo, zinanyonya damu na kuleta kansa ya vidole

    Wachungaji ni walewale, wadau ni walewale, wenye midomo ya kusemea wenzao! Niliwahi kusema hapa! Na narudia tena Tatizo la Watanzania tukiwa maarufu au viongozi au wachungaji ni kujidai tunajua kila kitu! Kiongozi wa siasa ndiye msemaji wa afya, kiongozi wa siasa ndiye mshauri wa ujenzi...
  9. rumplelstiltskin

    Tanzania kuanza kutengeneza smartphone

    Tanzania kuanza kutengeneza smartphone
  10. I_manyota

    THINGS TO DO BEFORE UPDATING [OS/APPS] YOUR SMARTPHONE- MAMBO YA KUFANYA KABLA YA KUSASISHA

    Okay, sijui kama ishawahi kuwa posted humu au la, ila tufanye kama haijawahi kuwa posted tukumbushane tu. Najua hapo uko na smart yako moja amazing sio? 😁😁 haya basi fresh, sasa waheshimiwa hivyo vi toy vyetu amazing mara kadhaa tunakuta vinaanza ku act tofauti na tulivyozoea mara app flani...
  11. E

    Waagizaji wa smartphone China jumla/rejareja

    Habari za muda huu! Rejea kichwa cha habari hapo Juu sisi ni waagizaji wa smartphones kwa gharama nafuu kutoka China specialized kwenye iphone na Samsung. Mzigo hutumia siku 8-14 kwa maana haizid week 2 unakua ushapata simu yako mpya kabisa na kwa gharama nafuu mno wote tunawakaribisha Kuanzia...
  12. S

    Uchaguzi 2020 Watanzania wengi sasa wanamiliki smartphone ili kupashana habari za uchaguzi hasa zinazohusu wapinzani

    Kwa wake wanaodhani kuwa kudhibiti vyombo vya habari kuripoti habari za wapinzani kutawasaidia, wajue tu wanajidanganya kwani hivi sasa watanzania wengi wanamiliki smartphone hasa maeneo ya mijini, hivyo watazitumia kupashana habari za uchaguzi zikiwemo habari za wapinzani. Lissu kasema...
  13. Humayra

    Phone4Sale Smartphone for sale @150k only

    Leagoo M9 Inauzwa. 2GB RAM + 16GB ROM Memory Dual SIM 2850mAh li-polymer Battery. Imetumika wiki moja tu, haina tatizo lolote. Inapatikana DSM Ukihitaji ni PM
  14. dunstech

    Fahamu usiyoyajua kuhusu Imei namba ya simu yako

    IMEI NUMBER NI NINI? IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular network ni network ambayo unatumia kupiga simu au kuunganishwa na internet. Kwa simu zenye sim card...
  15. K

    Natafuta miwani ya kublock mwanga wa computer, tv na smartphone

    Wakuu wapi nitapata hii miwani kwa Mwanza au Geita na gharama zinakuaje na pia je ipo original na fake kama bidhaa nyingine au yote iko okay.
  16. A

    Phone4Sale Brand New Samsung A10s for 295,000 TShs

    - Brand New Samsung A10s - Boxed with 2 years warrant Specifications Display6.20-inch (720x1520) Processor1.5GHz octa-core Front Camera 8MP Rear Camera13MP + 2MP RAM 2GB Storage32GB Battery Capacity4000mAh OS Android 9 Pie
  17. Kim Il Kwon

    Nahitaji smartphone Samsung au iphone

    Napatikana Kagera Ngara. Bajeti yangu 350k. Mwenye kua nayo niPM.
  18. TECNO Tanzania

    Una Maoni Gani Kuhusu TECNO, Bajeti Yako na Namna Ulivyoanza Kutumia Smartphone

    Hello wadau! Ikiwa imebaki wiki moja tuumalize mwezi Januari, leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana Tanzania. Huku ikionesha kuwa asilimia kubwa ya watu walioanza kutumia smartphone kwa mara ya kwanza kulingana na tafiti zetu...
  19. FRANC THE GREAT

    Samsung yaongoza katika soko la 'Smartphones' za 5G

    Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imekuwa kinara katika soko jipya la 'Smartphones' zenye uwezo wa 5G ikiweza kuzalisha simu za 5G takribani robo tatu ya uzalishaji wote ulimwenguni katika kipindi cha robo ya tatu (Third Quarter) kwa mujibu wa utafiti kutoka IHS Markit | Technology...
  20. Miki123

    Simu Bora kwa Mwaka 2019: Ni toleo lipi la smartphone ni bora kupita mengine kwa mwaka huu?

    Nimepita mtandao wa Android Police ambao wameichagua Pixel 3A kuwa ndio simu bora kwa mwaka 2019. Sasa nikiangalia bei yake si ya kitoto halafu sioni kama ina watumiaji wengi Tanzania. Sasa kwa sisi wa watumiaji wa Tecno, Samsung, Xiaomi, Oppo na nyinginezo zilizo na watumiaji wengi Tanzania...
Back
Top Bottom