Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au anatumia nini haswa ambacho ni tofauti na mtanzania mwengine wa maisha ya wastani?
Wanafunzi wakumbuke...
Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni.
Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
Habari wakuu,
moja kwa moja niende kwenye topic chuo kikuu Cha udsm kimekua na utaratibu wa kuzuia wanafunzi kusign pesa za kujikimu mpaka pale mtu awe anemaliza kulipa ada pamoja na direct cost.
Huu mfumo haujakamilika kwasababu Kuna wanafunzi wa Hali ya chini wanategemea kulipa ada kwa pesa...
WAKUU,
WASALAAM
serikali yetu kwa sasa inavuna pesa nyingi,
mfano Tozo kwenye miamala ya fedhaa tuchukulie makato ya 800 zaman saiz ni 1350: serikali inachukua kama 500+ hivi........
Tanzania ina watu wanaokadiriwa kwa wastani 21000000+wanaofanya miamala kwa siku
(500×21000000=10500000000) kwa...
Imepita mwezi tangu tulipoti katika vituo vipya vya kazi lkn mpaka sasa si hela ya kujikimu wala mshahara ulioingia.
Kama mmeshindwa basi tupeni hata hela ya kujikimu. Maaanake unakaaa kijiji X kituo cha kazi kituo Y.
Serikali tuoneeeni huruma
Habari za mda huu wakubwa,
Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha Corona sasa napenda kufahamu je safari hii nini kimepeleakea hilo?
Je, Rais samia ameamua kuiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.