udsm

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. BB_DANGOTE

    Je computer engineering inayo fundishwa DIT na ya UDSM ipi Ina applicable content nyingi

    Aaah wakuu naomba kusaidiwa katika hili kama Kuna mtu mwenye uelewa juu ya content yenye faida. Nimesoma prospectus zote lakin nimefeli kuelewa ipi ipo Nondo na ipi ipo unga 🙂 Ndomana nime kuja kuomba msaada Kwa wanaojua kuhusu hili... "Always say less than nessesary"
  2. Clark boots

    UDSM Masters courses in COaF

    Wakuu.. naomba mtu anayezifahamu courses zote za masters zinazopatikana UDSM ndani ya "College of Agriculture Science and Food Technology". CoAF.. itapendeza ukiorodhesha hapa au kutumia PDF kabisa
  3. BigTall

    Wanafunzi wa UDSM, tumezuiliwa kufanya mitihani kwa kushindwa kukamilisha Ada

    Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa kukosa vitambulisho vilivyo hai (Valid ID) kwa sababu ya kushindwa kumalizia Ada ya Semister ya Pili...
  4. Foffana

    UDSM wanafunzi washindwa kufanya mitihani ya majaribio kisa ADA

    SAKATA LA VALID ID Zaidi* ya robo tatu ya Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wameshindwa kufanya mitihani yao ya majaribio baada ya kukiuka kanuni na taratibu za mtihani za chuo kikuu cha Dar es salaam zinazowataka kuwa na kitambulisho halisi cha chuo ndani ya muhula au mwaka husika (...
  5. Mr Confidential

    Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?

    Wakuu, Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA? Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance) NAkaribisha ushauri wowote kuhusu hii kozi na chuo.
  6. Dr Matola PhD

    Ni lini Udsm itatambuwa mchango wa Bakhresa na kumtunuku Honorary Causa?

    Ni Kwa nini vyuo vikuu vyetu vinajipendekeza Sana Kwa wanasiasa na kushindwa kutambuwa mchango wa watu waliyofanya makubwa kama SS Bakhresa ambaye hata corridor za University hajui zinafananaje?
  7. Jamii Opportunities

    Financial Administrator at UDSM

    Job description The Department of Geography in collaboration with the University of Cape Town’s Environmental Humanities South (EHS) is implementing a four-year research project namely: Critical Zones Africa, South and East (CzASE). The project is funded by the Science Qualifications Holder of...
  8. M

    Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

    Habari wadau. Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm Amepata division one form 4. Na amepata division one form 6. Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi...
  9. Championship

    TANZIA Profesa Henry Mgombelo wa UDSM afariki dunia

    Mwaka 2016 niliingia ofisini kwake pale CoICT nikitaka aniandikie reference letter nilipokuwa naenda kusoma University of Manchester. Sasa nikakuta amefungua JamiiForums, anatoa michango yake kwenye majukwaa mbalimbali. Aliwahi kunifundisha kozi kadhaa za Telecom Engineering nilipokuwa CoET...
  10. ChoiceVariable

    Africa Sub Sahara Best University Ranking; Tanzania yaingiza Muhimbili na Ardhi

    Kwa Mujibu wa Jarida la Higher Education University Ranking,Tanzania imeingiza Vyuo Vikuu 2 kwenye List ya Top 10 Best Universities.. Vyuo hivyo ni Muhimbili University of Allied Sciences nafasi ya 3 na Ardhi University nafasi ya 10. UDSM imeshika nafasi ya 21 kati ya vyuo 25 huku Udom...
  11. Wakili wa shetani

    Natafuta mtu anayesomea Kiswahili UDSM anipe muongozo

    Habari. Natafuta mtu anayesomea Shahada ya Kiswahili UDSM anipe msaada wa uchambuzi wa vitabu fulani vya Kiswahili. Ni Muhimu awe mwanafunzi maana kazi tutaifanyia chuoni. Naomba aniDM.
  12. A

    Changamoto ya kujifunza UDSM

    Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), nasomea historia na sayansi ya siasa, Namba yangu ya usajili 2021-04-01016. UDSM tunafundishwa kwa namna 2, lectures za Darasani na seminar presentation, Kwenye seminar presentation ndiyo sehemu pekee ya...
  13. TTCC_TECNO

    UZINDUZI WA SIMU WENYE SUPRISE KUBWA CHUONI (UDSM)

    Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana kwani sisi wanafunzi wa chuo kikuu ndio washiriki wakuu! Si tu kuhusu uzinduzi wa simu; bali kuna...
  14. Mama Edina

    Dar inasemwa kumjibu Generali ulimwengu. Inatia aibu

    Hivi jamani kwann mambo mengine msinyamaze mkijirekebisha. Vyuo vingi ni kama extended high school sio uongo. Zamani tulizoea ukisikia kitivo cha sheria, kitivo cha lugha unajua kabisa hapo kumesimama. Siku hizi hovyo hovyo Yapite
  15. A

    Kucheleweshwa kwa malipo ya Boom kwa baadhi ya Wanafunzi wa UDSM tatizo liko wapi?

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) waliofanya mitihani ya supplementary na special hawajapata stahiki zao. Hii ni wiki ya tano (5) sasa hii, sawa na mwezi 1 na wiki 1, Wanafunzi wamekuwa wakiishi katika mazingira magumu kutokana na changamoto za kiuchumi zilizo sababishwa na...
  16. The Burning Spear

    UDSM kuwa Form 10 Jibuni hoja za jenerali Ulimwengu

    Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni. Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja. Hapana wanasiasa wamekikandamiza...
  17. A

    UDSM mnakosa hata Solar power karne hii?

    Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao? Mnakwama wapi? **Kipi ninajivunia miaka 60 ya kuanzishwa kwenu?
  18. Fifteen

    UDSM pitieni upya mfumo wa wanafunzi kusaini pesa ya kujikimu

    Habari wakuu, moja kwa moja niende kwenye topic chuo kikuu Cha udsm kimekua na utaratibu wa kuzuia wanafunzi kusign pesa za kujikimu mpaka pale mtu awe anemaliza kulipa ada pamoja na direct cost. Huu mfumo haujakamilika kwasababu Kuna wanafunzi wa Hali ya chini wanategemea kulipa ada kwa pesa...
  19. B

    Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
Back
Top Bottom