kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,652
- 5,173
Nawaza tu angekuwa kiongozi wa BAVICHA au ACT Wazalendo katoa lugha au vitisho au kauli ya uvunjifu wa amani kama iliotolewa UVCCM kiongozi mkoa wa Kagera.
Pia soma
- Polisi wangemkamata kwa kosa la lugha ya uchochezi
- Angeteswa na kuzungushwa huku na huko vituo vya polisi
- Ungesikia hata msajili wa viama ana ki reprimand chama husika
Pia soma
- Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
- Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali
- Kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Bukoba na agizo la Waziri Mchengerwa kwa UVCCM Rufiji vina tofauti gani?
- CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji