CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,135
110,490
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile.

Lakini pia ni Uthibitisho usio na Shaka kuwa kumbe wale Watesi (Critics) wote wa Watawala wa nchi na Serikali za CCM ambao ama huwa wanapotea kwa kutekwa au hata kukutwa wameuawa (wamekufa) kwa 90% Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahusika.

Pia Soma:

-
Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

- Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali
 
Faris Burhan ni mpumbavu sana aiseee....

Mwenyekiti wetu wa UVCCM atoe tamko haraka dhidi ya uzwazwa wa huyo mwenzetu......
Kwa CCM ya sasa ilivyogawanyika, ilivyo na Wapumbavu na Wanafiki wengi unategemea Tamko la Kumkana na Kumkemea?
 
Kama unadhani kasema kwa utashi wake nakushangaa.

Huyu sio wa kwanza,kuna yoso wengi tu waliishawahi kutoa kauli hizi mmoja wao somebody kheri james,lengo lao kutisha watu,ili waendelee kuogopwa.

Na nyuma ya pazia wanafanya kweli bila mwenyekiti kujua wala kuwaagiza,kama alivhosema mama yenu juzi,kwamba nawezatukanwa nikamezea ila chawa wangu wakashindwa kumezea.
 
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi...
Wangekana kwanza kauli ya jamaa mmoja hapo AR!! Bukoba mbali hivo😃
 
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile...
Mwisho wa CCM ni kuingiza nchi kwenye umwagaji damu tu maana hz kauli zinatunzwa na ipo siku watatokea wapinzan waliopinda na watazitumia kuhamasisha watu kutumia nguvu kupata madaraka
 
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi...
Chama kilishaharibika pale walipoacha watu wajimilikishe chama kwa kukiita eti kina wenyewe!

Ndio maana mteule was chama anakua loyal Kwa mtu aliemteua na sio Chama kama taasisi!

Ndio maana wateule wote sio wa chama sio watumishi was chama bali "Chawa was mwenyekiti"

Alieruhusu Raise kuwa mwenyekiti was chama alikiua chama kikawa sio chama Cham watu bali chama dola
 
Back
Top Bottom