Angekuwa amesema wa chama kingine au mwananchi wa kawaida angepewa kesi ya uhaini au uchochezi, Mwenyekiti UVCCM Kagera amechukuliwa hatua gani?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
400
1,004
Wakuu kwema?

Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba wanatuona manyani tu (Tanzania yetu) walivyotaabishwa, akina Mbowe chama chao kimekuwa na nenda rudi za kutosha kutoka polisi, mashtaka ambayo wanapewa ili tu kuwanyamazisha na kukandamizia uhuru wa kujileza.

Sasa leo imetokea kwao, kiongozi wa vijana ametaka kweupe, wakiwapoteza wanaotukana serikali polisi wasiingilie. Hii ni kauli ya kutisha ukizingatia na historia ya matukio huko nyuma.

Nchimbi unakuja kutoa kauli eti haa vijana huwa wanajisahau, tuwakanye! Kwa kauli inayoashiria vitendo vya kiuaji? Kwanini hajafikishwa central mpaka sasa kuisaidia polisi? Na watu wakampigia makofi kabisa kuonesha ni jambo la kawaida kufanywa.

Jambo hili linapotezewa kivipi? Inaonesha vijana wa CCM wanaweza kufanya lolotebila actions zao kuchukuliwa hatua. Next time hatatamka, atatekeleza kimya kimya tusijue nini kimetokea watakati tumepewa hint ya watu wasiojulikana ni akina nani.

Polisi tunasubiri mfanye kazi yenu mnayoifanyaga kwa weledi ikitokea wasanii, wanasiasa wa vyama vya upinzani, na wananchi wa kawaida wamekosoa serikali. Tunasubiri kauli yenu iliyotukuka juu ya suala hili.

Kwenu Wakuu.

==

Pia soma

Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanajua kweli huwa wanateka,kutesa,kupoteza(?)na ikibidi kuua kabisa.Sasa mtoto wa mchawi katoa siri za mama mchawi.Imebidi mama aseme tu..."we Junior acha utundu wa kulopoka,ntakuchapa"...!
 
Wakuu kwema?

Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba wanatuona manyani tu (Tanzania yetu) walivyotaabishwa, akina Mbowe chama chao kimekuwa na nenda rudi za kutosha kutoka polisi, mashtaka ambayo wanapewa ili tu kuwanyamazisha na kukandamizia uhuru wa kujileza.

Sasa leo imetokea kwao, kiongozi wa vijana ametaka kweupe, wakiwapoteza wanaotukana serikali polisi wasiingilie. Hii ni kauli ya kutisha ukizingatia na historia ya matukio huko nyuma.

Nchimbi unakuja kutoa kauli eti haa vijana huwa wanajisahau, tuwakanye! Kwa kauli inayoashiria vitendo vya kiuaji? Kwanini hajafikishwa central mpaka sasa kuisaidia polisi? Na watu wakampigia makofi kabisa kuonesha ni jambo la kawaida kufanywa.

Jambo hili linapotezewa kivipi? Inaonesha vijana wa CCM wanaweza kufanya lolotebila actions zao kuchukuliwa hatua. Next time hatatamka, atatekeleza kimya kimya tusijue nini kimetokea watakati tumepewa hint ya watu wasiojulikana ni akina nani.

Polisi tunasubiri mfanye kazi yenu mnayoifanyaga kwa weledi ikitokea wasanii, wanasiasa wa vyama vya upinzani, na wananchi wa kawaida wamekosoa serikali. Tunasubiri kauli yenu iliyotukuka juu ya suala hili.

Kwenu Wakuu.

==

Pia soma

Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Double standard watalaaniwa
 
Chama cha Mashetani hakioni kundule
 
Back
Top Bottom