Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,994
961
✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI.

Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji kutokana na athari za Mafuriko yaliyojitokeza kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini.

Viongozi wa Umoja wa Vijana walioambatana na Mwenyekiti Komredi Kawaida ni Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Rehema Sombi Omary (MNEC), Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Maafisa wa UVCCM Makao Makuu.

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewasilisha Mahitaji ya Chakula ikiwemo Mchele, Mafuta na Sukari.

Mafuriko ya namna hii yalitokea mwaka 1968,1972,1978,1998,2020 na mwaka 2024 Mafuriko yalianza 5 Machi ambapo yamesababisha Kaya 23670 kuathirika na mafuriko ya sasa na wahanga wa mafuriko Wamehifadhiwa katika makambi manne yaliyoandaliwa na Serikali na baadhi wameenda kwa ndugu jamaa na marafiki.

#TuwafarijiRufiji
#KaziIendelee
#KulindaNaKujengaUjamaa

Imetolewa na;
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa.
 
Attachments

  • GK4ayA1WAAAjtXO.jpg
    GK4ayA1WAAAjtXO.jpg
    165.8 KB · Views: 1
  • GK4ayA5XgAA0J3w.jpg
    GK4ayA5XgAA0J3w.jpg
    199.1 KB · Views: 1
  • GK4ayA7WsAE6hoW.jpg
    GK4ayA7WsAE6hoW.jpg
    125.6 KB · Views: 1
  • GK4ayA9WgAAe9tC.jpg
    GK4ayA9WgAAe9tC.jpg
    372.4 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.15.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.15.jpeg
    458.4 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.16(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.16(1).jpeg
    466.8 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.18.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.18.jpeg
    353.1 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.18(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.18(1).jpeg
    382.9 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.20(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.20(1).jpeg
    451 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.21(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 14.29.21(1).jpeg
    298.1 KB · Views: 1
✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI.

Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji kutokana na athari za Mafuriko yaliyojitokeza kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini.

Viongozi wa Umoja wa Vijana walioambatana na Mwenyekiti Komredi Kawaida ni Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Rehema Sombi Omary (MNEC), Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Maafisa wa UVCCM Makao Makuu.

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewasilisha Mahitaji ya Chakula ikiwemo Mchele, Mafuta na Sukari.

Mafuriko ya namna hii yalitokea mwaka 1968,1972,1978,1998,2020 na mwaka 2024 Mafuriko yalianza 5 Machi ambapo yamesababisha Kaya 23670 kuathirika na mafuriko ya sasa na wahanga wa mafuriko Wamehifadhiwa katika makambi manne yaliyoandaliwa na Serikali na baadhi wameenda kwa ndugu jamaa na marafiki.

#TuwafarijiRufiji
#KaziIendelee
#KulindaNaKujengaUjamaa

Imetolewa na;
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa.
Wauza sura tu hao chawa
 
Tunaishi kwenye nchii ya ajabu sana. Maigizo kila kona, wapumbavu ndo wameshika makali, wajinga ndo wanaonekana wajanja, cha ajabu werevu hawataki hata kujishughulisha na siasa. kuongozwa na wajinga kuna madhara makubwa sana kwa taifa.
 
✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI.

Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji kutokana na athari za Mafuriko yaliyojitokeza kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini.

Viongozi wa Umoja wa Vijana walioambatana na Mwenyekiti Komredi Kawaida ni Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Rehema Sombi Omary (MNEC), Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Maafisa wa UVCCM Makao Makuu.

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewasilisha Mahitaji ya Chakula ikiwemo Mchele, Mafuta na Sukari.

Mafuriko ya namna hii yalitokea mwaka 1968,1972,1978,1998,2020 na mwaka 2024 Mafuriko yalianza 5 Machi ambapo yamesababisha Kaya 23670 kuathirika na mafuriko ya sasa na wahanga wa mafuriko Wamehifadhiwa katika makambi manne yaliyoandaliwa na Serikali na baadhi wameenda kwa ndugu jamaa na marafiki.

#TuwafarijiRufiji
#KaziIendelee
#KulindaNaKujengaUjamaa

Imetolewa na;
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa.
Katibu mkuu amepatikana anabadilika kutokana na mazingira kama kinyonga sasa yupo kikatibu mkweli wa vijana kama chupikizi wa chama!
 
UVCCM WAKABIDHI MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANANCHI WA RUFIJI

🗓️11 Aprili, 2024
📍Rufiji, Pwani.

Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamekabidhi msaada wa Chakula kwa wananchi wa Rufiji walioathirika na mafuriko katika maeneo hayo.

Ndugu Kawaida ameelekeza Viongozi wa Rufiji kuhakikisha misaada yote inayotolewa inawafikia wananchi hao waliothirika na Mafuriko

"Niwasihi sana viongozi hakikisheni misaada hii inawafikia walengwa ambao ni wananchi wenzetu walioathirika na mafuriko na tuendelee kuwa faraja kwa ndugu zetu" Alisema Kawaida

Aidha Ndugu Kawaida amewahakikishia wananchi wa Rufiji kuwa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi itaendelea kuwa karibu nao katika kipindi hiki kigumu wanachopitia kwani ni Utamaduni wa UVCCM kuwakimbilia Wananchi pale wanapopatwa na Matatizo.

"Ndugu zangu sisi Jumuiya ya Vijana tuna utamaduni wetu wa kuishi kama ndugu wamoja ndio maana kauli Mbiu yetu ni "Kulinda na Kujenga Ujamaa", Hivyo niwahakikishie kuwa tutaendelea kuwa karibu na ninyi katika kipindi hiki kigumu"

Mwisho Ndugu Kawaida amewasihi Watanzania na Wadau mbalimbali wawakimbilie Wananchi wa Rufiji kuwasaidia wananchi wa Rufiji na sio kufanya Siasa.

#KulindaNaKujengaUjamaa
#TuwafarijiRufiji
#Kaziiendelee
WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.36.jpeg
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.37.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.37.jpeg
    115.9 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.38.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.38.jpeg
    68 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.38(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.38(1).jpeg
    91.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.39.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.39.jpeg
    109.9 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.40.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.40.jpeg
    110.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.41.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.41.jpeg
    87.9 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.41(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.41(1).jpeg
    124.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.43.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.43.jpeg
    86.7 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.43(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.43(1).jpeg
    93.2 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.44.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.44.jpeg
    86.1 KB · Views: 1

"RUFIJI WANAHITAJI MISAADA YA KIBINADAMU NA SIO MANENO" NDG KAWAIDA

🗓Aprili 11, 2024
📍Rufiji, Pwani.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) ameuelezea Umma wa Watanzania kuwa wananchi wa Rufiji na Kibiti wanahitaji misaada ya kibinadamu na sio maneno matupu.

Ndg. Kawaida ameyasema hayo leo tatehe 11 Aprili, 2024 wakati akizungumza na wananchi wa Rufiji mkoani Pwani alipotembelea Kambi za waathirika wa mafuriko yanayoendelea katika Wilaya ya Rufiji na Kibiti mkoani Pwani kutoa misaada mbalimbali ya kibinadamu.

"Ndugu zangu wa Rufiji na Kibiti awali ya yote niwape pole sana kwa hichi kilichotokea, Rufiji hii si mara ya kwanza kukumbwa na hii kadhia ya mafuriko, historia inatueleza kuwa miaka kadhaa iliyopita maruriko yameshatokea kwa vipindi tofautitofauti."

"Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka mikakati mbalimbali ya muda mfupi na muda mrefu ikiwa ni pamoja na kujenga Bwawa kuwa la kuhifadhia maji ambayo yatatumika kwa kilimo cha Umwagiliaji"

"Umoja wa Vijana wa CCM kwa kuona umuhimu wa kutoa misaada kwenu leo nimeambatana na Viongozi wenzangu Makamu Mwenyekiti UVCCM Ndg
Rehema Sombi (MNEC) na Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Jokate Urban Mwegelo (MNEC) kuwaletea mahitaji muhimu yakibinadamu ikiwa ni pamoja na Mchele kilo 3200Kg na Mafuta ya kupikia lita 500" amesema Ndg. Kawaida

Aidha Ndg. Kawaida amewaomba Watanzania hususan wananchi wa Rufiji na Kibiti kupuuza maneno ya baadhi ya watu wanaopotosha Umma kwa maslahi yao binafsi kwa kuhusisha mafuriko haya na Ujenzi wa Bwawa la Mwl. Nyerere (JNHPP).

"Tunatambua kuwa kila mtu ana Haki ya Kikatiba ya kuzungumza na kutoa maoni, tunachoomba kwao wasipotoshe Umma kama hawawezi ni bora wakae kimya, Wananchi hawa wanahitaji Faraja na Misaada kipindi hichi na sio maneno"

Mwisho Ndg. Kawaida ametoa wito kwa Wanasiasa, Wafanyabiashara na watu mbalimbali kutoa misaada mbalimbali kwa wananchi wa Rufiji na Kibiti pamoja na kumuomba Mkuu wa Mkoa wa Pwani na wakuu wa wilaya husika kuhakikisha misaada hii inawafikia walengwa na kugawanywa bila ya ubaguzi wowote.

#SautiYaVijana
#UVCCMKazini
#RufijiWanahitajiFaraja
#KulindaNaKujengaUjamaa

Imetolewa na
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.48.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.48.jpeg
    87.9 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.48(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.48(1).jpeg
    104 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.49.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 20.21.49.jpeg
    67.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.18.58(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.18.58(1).jpeg
    651.8 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.18.59.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.18.59.jpeg
    393.7 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.18.59(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.18.59(1).jpeg
    309.8 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.19.00.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.19.00.jpeg
    276.9 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.19.00(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.19.00(1).jpeg
    914.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.19.01.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.19.01.jpeg
    865.2 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.19.01(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.19.01(1).jpeg
    513.7 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.19.02.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.19.02.jpeg
    288.2 KB · Views: 2

MWENYEKITI KAWAIDA AWASIHI WAKAZI WA RUFIJI WASIPOTOSHWE KUHUSU MAFIRIKO

🗓️ 11 Aprili, 2024
📍Rufiji, Pwani

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewasihi wananchi wa Rufiji kutokupotoshwa kuhusu mafuriko yaliyojitokeza maeneo ya Rufiji na Kibiti

"Ndugu zangu kwanza poleni sana kwa kadhia hii iliyowapata, Jumuiya ya Umoja wa Vijana tumeguswa sana na Changamoto hii ndio maana tupo hapa Viongozi wote wakuu wa Jumuiya kuendeleza maelekezo ya Mwenyekiti wetu na Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kuwafariji Ndugu zetu"

"Wana Rufiji msipotoshwe kuhusu Mafuriko haya yanayotokea, kuna wanasiasa ambao kazi yao ni kudandia Ajenda hili nalo wanalichukua kisiasa "

"Kwa sisi Vijana wadogo tunaweza tusiwe na historia nzuri ya mafuriko haya lakini wazee wetu ni mashahidi kuwa maeneo haya mafuriko yamekua yakijitokeza mara kwa mara kuanzia mwaka 1968, 1972, 1978, 2020, na sasa 2024 hivyo hawa wanaosingizia Bwawa la kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere wasiwalaghai hata kidogo na wawaambieni hamtaki maneno matupu"

Mwisho Ndugu Kawaida amewasihi wananchi wa Rufiji itakapotokea Wataalam wameona umuhimu wa kuhama maeneo hayo wasisite kukubali kwani ni kwa Usalama wao.

"Niwaombe sana Ndugu zangu wa Rufiji itakapotokea wataalam wakasema tuhame maeneo haya tuwende sehemu nyingine zenye usalama zaidi tusisite kwani ni kwa usalama wetu na familia zetu" Alisema Kawaida.

#CCMImara
#KulindaNaKujengaUjamaa
#TuwafarijiTufiji
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.18.58(3).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.18.58(3).jpeg
    651.8 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.18.58(2).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-11 at 23.18.58(2).jpeg
    514.9 KB · Views: 1
UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI.

Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji kutokana na athari za Mafuriko yaliyojitokeza kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini.

Viongozi wa Umoja wa Vijana walioambatana na Mwenyekiti Komredi Kawaida ni Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Rehema Sombi Omary (MNEC), Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Maafisa wa UVCCM Makao Makuu.

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewasilisha Mahitaji ya Chakula ikiwemo Mchele, Mafuta na Sukari.

Mafuriko ya namna hii yalitokea mwaka 1968,1972,1978,1998,2020 na mwaka 2024 Mafuriko yalianza 5 Machi ambapo yamesababisha Kaya 23670 kuathirika na mafuriko ya sasa na wahanga wa mafuriko Wamehifadhiwa katika makambi manne yaliyoandaliwa na Serikali na baadhi wameenda kwa ndugu jamaa na marafiki.

#TuwafarijiRufiji
#KaziIendelee
#KulindaNaKujengaUjamaa

Imetolewa na;
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa.
MBONA KILOSA NA ARUSHA HAWAJAENDA KUPELEKA MISAADA?
 
Wasababisha mafuriko wameenda kuona ukubwa wa athari za mafuriko waliyoyasababisha..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom