Namna ya Kulinda Usalama wa Watoto Mtandaoni
1. Zungumza na mtoto juu ya matumizi sahihi na salama ya mtandao
2. Mfundishe mtoto kuhusu taarifa binafsi na namna ya kuzilinda
3. Weka mipaka ya mambo ambayo mtoto anaweza na hawezi kuyafanya mtandaoni.
4. Muhamasishe mtoto kutoa taarifa endapo...
Kuna kipindi nilikwenda nje ya Afrika na kuishi huko kama miaka 4 hivi na kidogo. Mwnyeji wetu alichukua muda wake kutueleza mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika taasisi ile, mji ule na nchi ile na kukutembeza kwenye maeneo machache sana Muhimu ambayo tunaweza kujipatia mahitaji na huduma...
Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah
Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake.
Anyway sio...
Mama mkwe mwanao amekolea kwa kiwango ambacho sikutarajia. Hata mimi nimemwelewa sana tu japo nimeweka akiba ya baadae kabla sijafanya maamuzi ya kumpiga pingu za maisha.
Lakini sasa kunichunguza ameanza kuzidi. Yaani inafika wakati saa nane za usiku nastuka namkuta anapekua simu zangu, anazama...
Tuwafundishe watoto wetu kazi kuanzia nyumbani mpaka shuleni. Tuwalee watoto wetu kama binadamu na siyo kama mifugo.
Zamani shamba la mwalimu lililimwa na wanafunzi, kuni za mwalimu zililetwa na wanafunzi na maji alichotewa na wanafunzi.
Mwanafunzi alijisikia fahari kutumwa na mwalimu wake...
Kuna wimbi la vijana wa hovyo panya road typical hatimaye wametinga kwa Kaburu.
Kuna wimbi la vijana panya road type sasa wamevuka mipaka wameanza kuwakaba mpaka Watanzania wenzao na wengine wakishavuta bangi zao hujiona ni Wamarekani na kujipost wakiwa na silaha za moto.
Sasa azimio ni moja...
✳️ UVCCM YACHANGIA WHEEL CHAIR TANO (5) KUWAUNGA MKONO TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO
🗓️07 Aprili, 2024
📌Karimjee, Dar es Salaam.
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi imechangia Wheel Chair tano kuunga mkono jitihada zinazofanywa na taasisi ya Mama ongea na Mwanao ya kuwasaidia...
Kofia nyekundu ya Baba Krismasi Santa Claus'
Kama viumbe visivyokuwa binaadamu aliens watafika duniani katika wakati wa Krismasi, bila ya shaka wataamini Krismasi kuwa ni sherehe ya kufurahikia kuzaliwa kwa Baba Krismasi Santa. Majina ya ‘Santa Claus’, hayamo popote ndani ya Biblia.
Hata...
Mtengnezee Mwanao kesho yenye furaha, mafanikio, malengo n.k.
Asitarajie kuishi kwa kuamini Serikali yake itamfanyia Jambo zuri kwa ajiri yake, Mfanye awe wa kujiamini awe wa kujitegemea, ajue furaha yake mtengenezaji ni yeye, ajuae kuna disappointments nyingi sana huletwa na uliowategemea...
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023.
Familia ya Dr...
I know am not perfect na sio kama najisifia humu ila mwanangu akifata hulka yangu ya uchapakazi katika nyanja ya kazi za kawaida na zile za uchumi itakuwa bonge la blessing sana kwangu.
Vipi kwa upande wako, ungependa mwanao afuate tabia, mwenendo au hulka gani nzuri uliyonayo?
Karibuni.
Mwanaharakati maarufu wa Marekani, Dr. Martin Luther King Jr. alishawahi kusema, "An idle mind is the workshop of the devil!". Mtu mmoja anisaidie kutafsiri kwa Kiswahili, tafadhali!🙏
Namna pekee ya kuiepusha akili kuwa "idle" ni kwa kuifanyisha kazi nzuri, na ili akili iweze kufanya kazi nzuri...
Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume
Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia,
Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani,
Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia
Akichukua kitu...
Kuna tabia flani mwanao akiwa nazo unayepata shida ni wewe mzazi
1. Mtoto kulilia kitu cha mgeni au chakula ulichowatengea wageni,
2. Akiwa anacheza na wenzake akiguswa tu kidogo kilio na machozi,
3. Kususa kitu kisa kimekatwa au kimepunguzwa mbele ya macho yake,
4. Mchana ukimwambia alale...
Habari,
Naomba kujua sababu za kushauriwa(kitaalamu) kumnyonyesha mtoto hadi umri wa miaka 2.
Asanteni.
=====
Sababu nyingi za ushauri huu ni za kitaalamu zilizofanyiwa tafiti kwa kulinganisha watoto walionyonya kwa muda mrefu na walionyonya muda mfupi au kutonyonya kabisa.
1. Uwepo wa...
Binadamu ni kama maua, hukua, huchanua na hata hunyauka. Na kama binadamu nina amini hakuna aliye kamilika.
Je, ni tabia zako zipi ambazo mtoto au watoto wako waki zirithi? Zinaweza kuwasaidia au kuwaangamiza katika maisha yao hapa duniani.
Kwema,
Sisi vijana tusio na ujuzi zaidi ya kile tulichosomea ni tabu sana huku mtaani.
Mtu unamaliza chuo bila ujuzi wa ziada wa kukusaidia kitaa aloo ndo maana tunasota sana.
Wazazi msiwatumie watoto wenu kwenye shughuli zenu za kukuza kipato chenu, walau hata muwapeleke mahali kama veta...
Ewe mzazi unakosaje furaha na simu yako uwapo nyumbani??? Njoo tukuondolee hilo tatizo analokusumbua mwanao kwa kumpatia Laptop ya Watoto itakayokufanya uwe huru.
UWEZO WAKE:
√ Zinatumia mfumo wa Android
√ Ni Touch screen
√ Zimesheni masomo Nursery mpaka Class 7
√ Masomo ya sekondari O-level
√...
Naomba kutoa taarifa ya wwzalendo form six waliochelewa kuripoti kambini ,wanarudishwa .Hivyo kama mzazi na mlezi fatilia mwanao kama ameingia au la ,kwaajili ya usalama wake.
Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.