Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,681
21,251
Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa.

Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo.

chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana sasa amekuja Makamu mwenyewe Cmd. Mh. Kinana dhidi ya Makamu Mwenyekiti Mh. Tundu Lissu!

Nini ambacho Mh. Kinana anadhani walisahau ambacho amerudi kufafanua?
 
chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana sasa amekuja Makamu mwenyewe Cmd. Mh Kinana dhidi ya Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu

Nini ambacho Mh Kinana andhani walisahau ambacho amerudi kufafanua?
Tulisema hizo hoja za Tundu haziwezi kujibiwa na mtu mmoja au wawili labda Mkutano mkuu wa chama chetu nao utaishia blabla na isitoshe watanzania wameshafunguliwa ufahamu, ukweli uko wazi mzanzibari anauza rasilimali za Tanganyika kwa waarabu wenzake na kuwaumiza watanganyika hata Kinana na Kikwete wanajua.
 
Tulisema hizo hoja za Tundu haziwezi kujibiwa na mtu mmoja au wawili labda Mutano mkuu wa chama chetu nao utaishia blabla na isitoshe watanzania wameshafunguliwa ufahamu, ukweli uko wazi mzanzibari anauza rasilimali za Tanganyika kwa waarabu wenzake na kuwaumiza watanganyika hata Kinana na Kikwete wanajua.
Juzi alikuwa na kikao itakuwa wamempa nondo za kuja nazo.
 
Tulisema hizo hoja za Tundu haziwezi kujibiwa na mtu mmoja au wawili labda Mutano mkuu wa chama chetu na utaishia blabla na isitoshe watanzania wameshafunguliwa ufahamu, ukweli uko wazi mzanzibari anauza rasilimali za Tanganyika kwa waarabu wenzake na kuwaumiza watanganyika hata Kinana na Kikwete wanajua.
Mimi ile siku nimemuona mama snakwenda Oman kumsalimia mjomba wake basi nikajuwa tumekwisha.
 
Back
Top Bottom