Serikali kuja na sheria ya katazo la kuvuta sigara hadharani

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,906
10,390
Naibu Waziri wa Afya akiwa bungeni amesema kuwa tayari Bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la uvutaji wa sigara hadharani.

Ameongeza kuwa sheria hiyo imezuia matangazo ya tumbaku na bidhaa zitokanazo na tumbaku kwenye maeneo ya umma ikiwemo Vyombo vya Habari, billboards na kwenye matamasha mbalimbali.

Dkt. Mollel ametoa wito pia kwa Wabunge kuwa Mabalozi wa Udhibiti wa Tumbaku katika Jamii ili kusaidia Wananchi kuepuka magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
 
Back
Top Bottom