Mwangajamii Tanzania
Member
- Oct 24, 2018
- 12
- 13
Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani Anawashasha hapo hapo halafu anapuliza Moshi watu watu wengine wanavuta limoshi lake.
Hii haijakaa Mahali pake. Na Nadhani Angalau Faini yake Isipungue chini ya 300,000 au kifungo Cha Miezi Sita Jela au vyote kwa Pamoja.... Ili iwe fundisho kwa muhusika na wengine wenye tabia kama hizo.