Usimkatae mtoto anapozaliwa au kuwa na imani POTOFU pindi anapozaliwa na white stuff.

Dr isaya febu

Member
Jan 17, 2023
24
217
Wengi hufikiri na kudhania kwamba hii hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito.
ONDOA HOFU, hali hiyo Kitaalamu hujulikana kama “Vernix Caseosa” ambao ni utando mweupe unaomzunguka mtoto na wenye faida ya kulinda ngozi yake na kumkinga dhidi ya maambukizi. Ni hali ya kawaida na hutokea kwa wanawake wachache, Hakuna uhusiano katika ya white stuff kwa mtoto na tendo, Kumbuka kushiriki tendo kipindi cha ujauzito ni SALAMA na HAKUNA madhara yeyote ikiwa mama hatokuwa na Maumivu wakati wa Tendo.
 

Attachments

  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    90.7 KB · Views: 5
Back
Top Bottom