Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,734
12,611
Msichojua ndo hicho sasa
Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane
Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia mihangaiko yangu ajui kituo cha gari anakoenda ila sijajua kama kweli alikua hapajui aendapo.akaniuliza nikampeleka
Jamaa wa Arusha huyo mgeni kifupi niliona alinielewa nikawa namkatisha katisha maneno yake wakati nampwleka kumuonesha akapenda gari asichojua mimi pia nimemuelewa
So nimemuonesha akabaki kasimama ananiangalia mimi huyo nimetokomea
“Ushawahi kutana na mwanaume ukamuelewa kama ni mjamzito unatamani kuificha mimba?” Basi ndo leo
Ila mimi sio mjamzito ila ninajua kujizuia na kutetea kiapo changi cha NDOA
Hata kama utatamani nje ila unatakiwa ukumbuke ahadi uliyoitoa madhabauni na kwa mwenzako bado ndoa itakua salama
Dah wakaka wa Arusha i mis home already
 
"pesa ni tamu"....
 
Kutoka 20:17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
 
Namba ulichukua?

Machalii wa Arusha (wadudu) jikusanyeni, dada yenu amewamiss.
 
Kutoka 20:17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
Uliyoongea ni kweli kabisa, ila kila kitu kwa kiasi, hata kutamani ufanye kwa kiasi, kutamani sio dhambi kwa sababu ni hisia tulioumbiwa nayo, tungekuwa hatutamani tusingekuwa tunajituma wala kuoa, mm nina "matamanio" ya kuishi maisha ya kiwango flani ndo maana nipo napambana, nikikutana na mdada mzuri mwenye tabia nzuri, mwanzoni kabla hatuja fahamiana lazima "nimtamani" kwanza kabla ya kum-approach.
Matamanio ndio yanayomfanya mtu anyanyuke afanye jambo fulani, ila ukizidisha matamanio ndo shida inapokuja, ndo maana Yesu anasisitiza "tuwe na kiasi"

Kula sio ulafi, lakini kula kiasi kingi hadi wenzako wakakosa chakula ni ulafi.
 
Back
Top Bottom