Nikisikia mwanaume anaoa mwanamke fulani ninaye mjua kitaani kwetu huwa napata huruma kwa mwamba

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
5,126
8,297
Wana jukwaa wa MMU habarini?

Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao kuingia kwenye mahusiano imara.

Juzi kati hapa kuna Me nimesikia anaoa ke fulani kitaani kwangu.
Me katokea zake huko namanyeee kaja huku ushuani kuopoa toto la kichagga, halo naona huruma kwa mwamba kwamba anatakiwa ajiandae kisaikolojia.......
Ukizingatia mwamba yuko kwenye system naona anavo lose goals....

Nitoe tu ushauri kama unaoa mbali fika unapofika ona benchi la ufundi wakupe mbili tatu kama unaweza oga maji au huwezi itakuwa kina kirefu.

Ogapa aina ya wanawake wanaotafuta ndoa na sio wao kutafutwa.....kuweni makini na hawa wasaka waume walio na maokoto......

mfano huyu mwamba anaye oa kitaa chetu akikata ringi (maokoto) lazima afe au akimbiwe na huyu demu na huyu demu ukiwa nacho wao wana asili ya kukill wabaki nazo....pole kwa mwamba na karibu kwetu uchaggani kwa wakwe.....
 
Leo mchagga amekiri wazi kuwa wadada wa kwao ni wapumbavu na wauaji wa wanaume🧢🙏🏿
Sio wachagga tu kijana wapo wengi sana wenye roho za ovyo.

Kumbuka mimi sija fanya generalization, wapo wachagga wametulia na hawana shida na wana saidia waume zao tena sana na kuwajali vizuri, tatizo unakariri kama mimi 😅😅😅
 
Wana jukwaa wa MMU habarini?

Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao kuingia kwenye mahusiano imara.

Juzi kati hapa kuna Me nimesikia anaoa ke fulani kitaani kwangu.
Me katokea zake huko namanyeee kaja huku ushuani kuopoa toto la kichagga, halo naona huruma kwa mwamba kwamba anatakiwa ajiandae kisaikolojia.......
Ukizingatia mwamba yuko kwenye system naona anavo lose goals....

Nitoe tu ushauri kama unaoa mbali fika unapofika ona benchi la ufundi wakupe mbili tatu kama unaweza oga maji au huwezi itakuwa kina kirefu.

Ogapa aina ya wanawake wanaotafuta ndoa na sio wao kutafutwa.....kuweni makini na hawa wasaka waume walio na maokoto......

mfano huyu mwamba anaye oa kitaa chetu akikata ringi (maokoto) lazima afe au akimbiwe na huyu demu na huyu demu ukiwa nacho wao wana asili ya kukill wabaki nazo....pole kwa mwamba na karibu kwetu uchaggani kwa wakwe.....
Dooh
 
Leo mchagga amekiri wazi kuwa wadada wa kwao ni wapumbavu na wauaji wa wanaume🧢🙏🏿
Wachagga wanamatabaka kumbuka sio tu kikabila hata kwenye koo zao.
Unaeza kuta ukoo wa Mushi una matabaka unakuta mtu anaitwa mushi lakini hawafanyi mila moja na tamaduni.......
mfano Mushi kimboka sio sawa na Mushi Sina au Massawe mbacho sio sawa na massawe mbishi n.k hayo ni matabaka...

Unaeza mshobokea Mushi kisa umesikia ni mushi mwenzako na akakuambia hakujui wala hamchinji wote 😅😅😅😅
 
Wana jukwaa wa MMU habarini?

Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao kuingia kwenye mahusiano imara.

Juzi kati hapa kuna Me nimesikia anaoa ke fulani kitaani kwangu.
Me katokea zake huko namanyeee kaja huku ushuani kuopoa toto la kichagga, halo naona huruma kwa mwamba kwamba anatakiwa ajiandae kisaikolojia.......
Ukizingatia mwamba yuko kwenye system naona anavo lose goals....

Nitoe tu ushauri kama unaoa mbali fika unapofika ona benchi la ufundi wakupe mbili tatu kama unaweza oga maji au huwezi itakuwa kina kirefu.

Ogapa aina ya wanawake wanaotafuta ndoa na sio wao kutafutwa.....kuweni makini na hawa wasaka waume walio na maokoto......

mfano huyu mwamba anaye oa kitaa chetu akikata ringi (maokoto) lazima afe au akimbiwe na huyu demu na huyu demu ukiwa nacho wao wana asili ya kukill wabaki nazo....pole kwa mwamba na karibu kwetu uchaggani kwa wakwe.....
vipi akimuoa dada yako?
 
Back
Top Bottom