Nikisikia mwanaume anaoa mwanamke fulani ninaye mjua kitaani kwetu huwa napata huruma kwa mwamba

Wana jukwaa wa MMU habarini?

Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao kuingia kwenye mahusiano imara.

Juzi kati hapa kuna Me nimesikia anaoa ke fulani kitaani kwangu.
Me katokea zake huko namanyeee kaja huku ushuani kuopoa toto la kichagga, halo naona huruma kwa mwamba kwamba anatakiwa ajiandae kisaikolojia.......
Ukizingatia mwamba yuko kwenye system naona anavo lose goals....

Nitoe tu ushauri kama unaoa mbali fika unapofika ona benchi la ufundi wakupe mbili tatu kama unaweza oga maji au huwezi itakuwa kina kirefu.

Ogapa aina ya wanawake wanaotafuta ndoa na sio wao kutafutwa.....kuweni makini na hawa wasaka waume walio na maokoto......

mfano huyu mwamba anaye oa kitaa chetu akikata ringi (maokoto) lazima afe au akimbiwe na huyu demu na huyu demu ukiwa nacho wao wana asili ya kukill wabaki nazo....pole kwa mwamba na karibu kwetu uchaggani kwa wakwe.....
Sasa Bongo demu gani ambaye hajaliwa?
 
Back
Top Bottom