umbea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teslarati

    Huwa naepuka kabisa kusikiliza umbea wa mwanamke wangu, juzi niliusikiliza umeniweka njia panda

    Kama kuna kitu huwa sipendi nikiwa na mwanamke ni pale anaanza kunipa umbea. Hii inatokea sana baada ya game nono (CHAPUTA hamtojua hili) Sasa bwana, usiku wa juzi kwenye kutuliza kichwa huyo akaja na story, mie nikawa namuitikia tu kutokumkatisha (hapa ndo nilifanya kosa maana huwa namkatisha...
  2. SAYVILLE

    Umbea wa Rais wa Yanga kwa Motsepe umeiponza Yanga

    Binadamu tumeumbwa kusahau. Yanga ilipoifunga Simba msimu huu, Rais wa Yanga Hersi Said alienda kujitapa kwa Rais wa CAF na mmiliki wa Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe pamoja na Rais wa FIFA Infantino. Kumbe Motsepe ni mshabiki mkubwa wa Meddie Kagere na anaijua ile kauli yake ya "mnafiki ishi...
  3. Rihana

    Nani ana MP3 ya wimbo wa Orchestra Makasi Dar es Salaam jiji umbea mwingi?

    Wakuu naomba mwenye wimbo wa orchestra makassy Dar es salaam jiji umbea mwingi, ukila kisamvu kaza roho mama Mwanza aaaa mteva, shinyangaaa mteva naomba kuwasilisha.
  4. Hance Mtanashati

    Hivi kuna mtu yeyote anamfikia huyu jamaa kwa upambe na umbea?

    Kwa wale wapenzi wa filamu za kichina mtakuwa mnaelewa usnitch ,upambe umbea wa huyu jamaa. Sidhani kama ana mpinzani huyu kiumbe , ila sasa ni hodari wa kutumia mbio yakimshinda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
  5. GoldDhahabu

    Ushuhuda kutoka kwa Shehe Omari Mnyeshani

    Nimeamua kuuandika kwa vile upo YouTube, lakini sikubaliani wala kupingana na msimuliaji. Ni ushuhuda wa bwana mmoja anayejiita Shehe Omari Mnyeshani, Mchawi wa "zamani". Anadai kuwa kabla ya kuukimbia uchawi, alikuwa Mwenyekiti wa wachawi Tanzania na nje ya Tanzania. Ikiwa anayoyaongea yana...
  6. Mhafidhina07

    Kwani wanawake kuna ulazima gani kutugaia umbea wenu wa mtaani tukiwa ndani??

    sijajua kuwa hili jambo linatokea upande wangu au wanaume wenzangu lipo na kwenu kwani tayari nimepita mahusiano matano lakini hali ni moja kwa wanawake wote wamekuwa ni watu wa kuwasema wenzao mara umbea fulani na kwa bahati mbaya sipendi kusikiliza ila nakuwa sipendi kumboa mtu hivyo naguna...
  7. Wadiz

    Nimeumia sana baada ya kupata umbea kuwa demu ninaempenda katika harakati za mahusiano ametoa mimba 15 na zaidi

    Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana. Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za maisha ya hao mademu besties wa msela kumbe wamesoma pamoja Olevel, na chuo cha Ualimu. Sasa bhana mie...
  8. LUKAMA

    Ukanda wa Pwani kwa umbea ni hatari

    Yaani nipo mkoa x wa pwani ya Tanzania watu wahuku ni hatari kwaumbea, kupigana na kurogana, watu hawa wote ni majirani zangu na wate waabudu dini ya mudi. Me nimejitokea mkoani huko ambako kila mtu hana time na mwenzake, wapo vizuri kwa kulazimisha urafiki ili wapate kukusema vizuri na...
  9. Blue-ish

    Salon za kike na umbea

    Yaani sijui kwa nini salon za kike zinasifika sana kwa umbea, kila atakayepita macho nje kumchungulia na kumchunguza wajue mtu kavaa nini, anakwenda wapi yaani ni vituko. Sasa juzi nilikwenda salon kusuka zikaanza mada za watu mbalimbali yani kujadili watu, kuna mdada mmoja alipita ile kukata...
  10. sifi leo

    'Umbea mode of security system' namshauri Samia aitumie

    Nikiwa nimechili zangu, kidume Sina hili wala lile maeneo ya Kwa Sadara ghafla anatokea Mzee anae kadiliwa kuwa na miaka zaidi ya 82. Mzee ni wa makamo ila anaonekama kuwa very upstea kichwani mwake. Katika mazungumzo yetu Mzee anamsifia Rais wa awamu ya sita Kwa mengi mazuri anayoyafanya...
  11. Superbug

    Mtanzania atakupa umbea unaotoa ushahidi lakini hatakubali kukusaidia kutoa ushahidi huo mahakamani

    Watanzania ni watu waajabu sana atakupa taarifa in detail ya jambo lolote la kiuhalifu lililotokea lakini ukimuambia sasa naomba taarifa hizi ukanisaidie kuwa shahidi mahakamani hatakubali kwà uoga hii inaumiza sana.
  12. EINSTEIN112

    Putin awajibu G7 kibabe

    The Russian president was asked about jokes made at his expense earlier this week, when Boris Johnson joked: ‘Shall we take our clothes off? We have to show we’re tougher than Putin.’ Canada’s Justin Trudeau then cited the dictator’s topless photos, saying, ‘We’re going to get the bare-chested...
  13. R

    Kukiita kipindi cha UMBEA ICU ni kuikosea heshima taaluma ya Afya ,wahusika mnakosea sana .

    Habari wana Jf , Hivi unawezaje ita kipindi cha umbea jina la Chumba ambacho ni chumba maalumu cha wagonjwa mahututi wanao pigania uhai wao ? Kibaya zaidi unavaa sare za wahudumu na kuanza jadili umbea ,nadhani ni kebehi na kukos heshima kwa watumishi wa afya .
  14. miles45

    Kwa mara ya kwanza leo nimesutwa umbea

    Poleni na shughuli. Jaman mwenzenu sijawahi kuwa mbea ila leo yamenikuta kumbe ndio mambo yanakuwaga hivi....? Kuna Mteja alileta kazi hapa officin kwangu kwa kuwa nilikua busy na kazi nyingine na yeye alikua na haraka na kazi yake nika mwambia aje nayo kesho . Kesho yake hakuja nayo hadi kama...
  15. warumi

    Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

    Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yaani umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako Warumi nina miaka 43 hata boyfriend sina .... Secondly, I’m loving this new couple ya mjini, Harmonize na Kajala...
Back
Top Bottom