Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City.
Nakwenda kung'oa anyltena dish la Azam
Asanteni
Habari za asubuhi wana JF,
Iko hivi, nina rafiki yangu ana mtoto (naweza nikasema ni single mom) ila isieleweke vibaya, nilisomaga nae O level huko ila nikama bahati tu tumejikuta tunaishi tena mtaa mmoja.
Ijumaa jioni wakati natoka tu ofisini alinipigia Simu akaniambia anashida kama naweza...
Hamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco.
Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu wameenda kutuwakilisha mechi ya kwanza wanapigwa tatu.
Mbona walituadaa mioyo yetu vizuri. Sisi...
Watoto wa shule wenye umri wa miaka13-17wanapakiwa kwenye gari na kupelekwa shamba kwa nakubaliana ya malipo ya7000 kutwa baada ya kazi ya kupanda.Je hii ni dawa?
Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana.
Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za maisha ya hao mademu besties wa msela kumbe wamesoma pamoja Olevel, na chuo cha Ualimu.
Sasa bhana mie...
Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka-fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko.
Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku...
Habari zenu ndugu zangu? binafsi namshukuru huyu MUNGU kwa uzima.
Ni jana tu siku ya alhamisi nikiwa natokea Dar kwenda Moshi mjini nikipanda gari ya umma (nikumbushie kidogo sio kila siku binafsi tu). Mida ya saa 4 hivi asubuhi nilifika stendi ya mabasi MAGUFULI pale mbezi nikijua kabisa...
Kwa jana match ambayo ilikuwa kwangu muhimu sana ilikuwa ya Iran vs USA hii nliitamani sana. Ilikuwa match yenye mvuto wa peke yake kwetu sisi wapenzi wa Iran.
Nlifuatilia kwenye vyombo vya habari huko nje. Tension ilikuwa kubwa sana na Iran walijipanga kupata siku ya mapumziko kama...
Huyu binti ni miezi kama miwili naomba nipate naye japo nafasi ndogo. Nikamshawishi Jumamosi tukaenda Bagamoyo. Aliniambia kabisa tunaenda ili niondoe wazo la kumla.
Alinipa angalizo hilo nisahau. Jumamosi tukalala kawaida nikiteseka sana. Jumapili pia, jana jioni homa ilinizidia nikaanza...
Nimemsikiliza sana naibu katibu wa chama cha soka cha Burundi kuhusu mipango yao ya maendeleo, nikajaribu kuwaza kuhusu mwelekeo wa taifa letu kimichezo, nikaona bado tuna safari ndefu sana kufikia matamanio yetu kimichezo.
Alipoulizwa na mtangazaji wa chombo kimoja cha habari hapa nchini...
Si kweli kwamba vijana wa nchi hii hupata mikopo bali mikopo yote ihusuyo vijana hugawanwa na Viongozi wa chama tawala na vijana wao nao ni wale tu walio na connection.
Katambi acha dharau na hilo litakukosesha jimbo.
===
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma, wakati...
Just Read:
Hello. how are you doing?
I am from the Caribbean family and i live in Dallas, TX
I want a website design for my Wife Restaurant opening soon and I will like you to use this image for the new website for my wife Restaurant.
{link kapuni}
This is what i want you to create for my...
Mimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA.
Kama sio USA kumtia kiburi Zelensky Leo hii kusinhekua na vita Ukraine.
Ukweli kabisa Sasa nhurumia kabisa...
KUELEKEA SIKUKUU; JE MGENI UMEWASILI AU UMEFIKA. NIMEUMIA SANA.
Na, Robert Heriel.
Leo nataka kujua maana ya maneno haya; "Kuwasili, kufika, kuketi na Kukaa" maana huku nimekerwaaa Sana.
Sikukuu huku imeshaanza, mamia Kwa maelfu yameenda nyumbani Kula sikukuu. Nami ni mmoja wa watu nilirudi...
Wakuu,
Naandika hapa kama sehemu ya kuomba ushauri pia.
I have my wife, over recently tumekuwa na mikwaruzano ya hapa na pale chanzo kikiwa ni yeye kwenda kinyume na utaratibu tuliojiwekea, hakuonyesha hata dalili zakuomba msamaha, ilinibidi nitumie nafasi kama Baba kujitenga kidogo nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.