njia panda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kuelekea Maridhiano kusimamisha vita, Israel yajikuta njia panda!

    1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi. 2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa. 3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile...
  2. Teslarati

    Huwa naepuka kabisa kusikiliza umbea wa mwanamke wangu, juzi niliusikiliza umeniweka njia panda

    Kama kuna kitu huwa sipendi nikiwa na mwanamke ni pale anaanza kunipa umbea. Hii inatokea sana baada ya game nono (CHAPUTA hamtojua hili) Sasa bwana, usiku wa juzi kwenye kutuliza kichwa huyo akaja na story, mie nikawa namuitikia tu kutokumkatisha (hapa ndo nilifanya kosa maana huwa namkatisha...
  3. Candela

    Msaada niko njiapanda muda wa mawasiliano na mpenzi wangu

    "Kuna huyu binti tulipendana sana, kutokana na mambo ya kazi muda mwingi yeye ndio huanza kunicheki iwe kwa kupiga au sms, sasa ghafla kaanza kulalamika kwamba kwanini kuwasiliana mpaka anitafute yeye, kulingana na kazi yake simu anaweka mbali so napopiga muda yuko bize hapokei hivyo nikamwambia...
  4. Anonymous77

    Nombeni ushauri niko njia panda. Huu ni uchawi au kiini macho?

    Kwanza kabisa nianze na salamu kwenu wote wana JF asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, ndugu zangu kaka zangu dada zangu naombeni ushauri wenu, kuna tukio ambalo limekuwa linanisumbua sijui ni uchawi ama kiini macho sijui niseme lipi ndugu zanguni. Ila hivi sasa miezi zaidi ya 5 nimekuwa...
  5. M

    Msaada: Kabla ya kuoa, ndugu yangu yupo njia panda

    Kuna ndugu yangu mmoja anamchumba sasa kumfuatilia anajiuliza mambo mengi kweli. Mara nyingi tunaamini kuhusu Tabia kurithi kutoka kwa Baba na mama. Sasa katika ndoa kuna mambo mengi hasa utakuta mama anachepuka na kuzaa na ME mwingine na mtoto kumpa mume wake bila kujua au mume akajua baadae...
  6. Pleasepast

    Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Habarini za usiku wapendwa Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
  7. Mjukuu wa mama

    Niko njia panda katika maamuzi yangu na wazazi wangu, wanataka nijiendeleze kielimu

    Habari wanaJf, mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita mwaka 2021 katika tahasusi ya HGL, baadae nikaanza biashara yangu ya mpesa, mwaka huo sikuomba chuo kutokana na matatizo ya kifamilia. Mwaka jana nikaomba chuo course ya sheria ila nikakosa mkopo, nikaamua kujikita kwenye biashara...
  8. lusanasaimon

    Rafiki yangu yuko njia panda

    Nina rafiki yangu yeye amekuja kuniomba ushauri, iko hivi; Yeye (rafiki yangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote. Anasema Mungu si Athumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa...
  9. Nyuki Mdogo

    Njia Panda Ya magereza😅😅😅

    Njia za kumpeleka mwanaume JELA ziko nyingi sana😂😂😂
  10. Roving Journalist

    Maridhiano njia panda: Mbowe na Lissu wampa tahadhari Rais Samia

    *Wadai kuna 'njama za kuchelewesha Katiba Mpya' MAZUNGUMZO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, yaliyochukua takribani mwaka mmoja, yakijaribu kutafuta muafaka wa kitaifa hususan kwenye suala la katiba mpya, sasa yanaelekea kuwa...
  11. B

    Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

    Habari zenu Bila kupoteza muda Mimi naishi jijini Arusha, nimetokea kuwa katika Mahusiano na kadada kamoja hapa hapa Arusha. Mahusiano bado hayajawa deep kwani tuna muda mchache kama miezi minne. Kikubwa kilichonivutia Kwa huyu dada ni kwamba ni mpole, mkarimu pia ana hofu Sana na Mungu(huyu...
  12. Nyuki Mdogo

    NJIA PANDA: Jifunze jinsi inavyotumiwa na katika madhumuni tofauti

    NJIA PANDA Njia panda ni mahali ambapo njia zaidi ya moja hukutana, lakini njia panda nzuri zaidi kwenye kazi hizi ni ile ya njia nne inayoweka alama ya ❌ Matumizi ya njia panda inaweza kuwa kwa madhumuni tofauti, hasa kuleta kitu kuelekea kwako au kutuma kitu kwa mtu mwengine Unaweza kutumia...
  13. Librarian 105

    Amerika katika njia panda. Atatoboa dhoruba hii?

    Uchumi wake unaendelea kudorora kwa dola yake kuadimika, ukomo wa deni la taifa ni kitendawili.... Electrol collage! Je, tulaumu electrol collage kuchukua nafasi ya wananchi katika demokrasia?!
  14. Baba jayaron

    Demu wa mdogo wangu kanifungukia, nipo njia panda!

    Wanajamvi, salaam! Iko hivi nina mdogo wangu (rafiki) naishi nae kwakua anaumwa, tunaheshimiana sana. Tunaishi kisela kila mmoja anaweza kuleta demu wake maghetoni. Dogo ana mademu watatu ambao najua yupo active nao na wote wanakujaga maghetoni kwa wakati tofauti, sasa kumbe ana wa nne ambaye...
  15. Liverpool VPN

    Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI. INTRODUCTION: Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa... Na nikiri NAPENDA HELA SAA. Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu. Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara...
  16. Unique Flower

    Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

    Jamani za leo? Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu. Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 . 1. Wanaume msiojielewa. Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko...
  17. Kiboko ya Jiwe

    Naomba ushauri: Niko njia panda

    Habari! Mimi ni mwajiriwa wa serikali ofisi X kwa kada ya ulinzi. Nina miaka 7 sasa tangu niajiriwe. Nimejenga nyumba ya kawaida sana. Na nina second hand car, namaanisha namiliki gari ya kuungaunga. Ninapenda sana magari. Nimechoka kulinda. Yaani nimechoka sana maana ni kazi ambayo hata mke...
  18. funluverx

    Yupo njia panda, afanyeje mwana?

    Binti kisu kisu kweli. Ilikuwa tuupige ' ubeche' wa Harusi miaka minne iliyopita baada tu ya mchumba wake kuhitimu Chuo lakini baada ya kushauriwa mshkaji alilielewa somo na kukubali kuahirisha Ndoa kwa makusudi ya binti kwenda kumalizana na masomo ili akirudi wanaoana. Mshkaji aliingia...
  19. agent 89

    Niko njia panda

    Habari wana jf, Natuamina wote mko poa humu ndan. Mi nikijana wa miaka 33 sasa nmekua na mahusiano na mdada mmoja wa kichaga from marangu yapata miez karibia 6 sasa, mwanzon mpaka juz tulikua vizuri tu nampenda na yeye kwa upande wake naona anaonyesha upendo na kunijali kwan kila nikimhitaj...
  20. B

    Kwa mwendelezo wa unyanyasaji huu, Serikali mnazidi kujiweka njia panda

    Hatua stahiki zinahitajika hapa kama si mwendelezo wa kujisahau: Ya Mwigulu, Nape na walamba asali wengine tumeyaona. Kama vile haitoshi tena tunastaajabu ya Waziri Masauni. Asali mlambe nyie na kukiuka haki zetu juu? Hivi mnawajibika kwa nani enyi miungu watu?
Back
Top Bottom