Kuelekea Maridhiano kusimamisha vita, Israel yajikuta njia panda!

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,142
36,141
1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi.

2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa.

3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile kisemwacho mezani, au hata kwenye mabaraza ya vita ya pande zote!

4. Kwamba ilikuwa inajulikana hadi mapema jana mistari myekundu HAMAS ilikuwa:

Mazungumzo ya kusimamisha vita Gaza, hati hati kukwama; Israel, HAMAS yupi ana hoja?

a) kukomeshwa vita kabisa (permanent ceasefire).
b) kuondoka kabisa kwa wavamizi Gaza (total IDF withdrawal).
c) kubadilishana kwa wafungwa wa pande zote mbili
d) kuanzishwa kwa mchakato wa kukomeshwa kabisa kwa vizuizi vyote vya msayuni Gaza.
e) kuanzishwa mchakato wa kuelekea wa kuanzishwa kwa taifa la Palestina na wa Gaza kurejea makwao.

5. Mstari mwekundu Israel ulikuwa vita kuendelea baada ya mapumziko mafupi.

IMG_20240506_043504.jpg

6. Kwamba HAMAS kakubali, na hadidu za rejea ni hizi:

IMG_20240507_040221.jpg

(Azimio lote kamili, kama lilivyo hapo post #2) kwa hakika mistari yote myekundu ya HAMAS imejibiwa; Israel kijasho chembamba!

7. Kwamba HAMAS kakubali azimio laini?

IMG_20240507_040051.jpg

8. Azimio lipi laini sasa, wakati kwenye mazumgumzo tangia awali azimio ni moja, wakiwapo mashamusi wakuu wote nchi husika (Marekani, Israel, Egypt na Qatar)?

IMG_20240507_040902.jpg

9. Kwamba HAMAS kawalambisha asali wenye mateka wao Gaza? "Atawaambia nini" Natenyahu, wakati hata mjengoni na hata majuu huko, wengine walitimba kabla yake? -- Prof. Jay. 😀

IMG_20240507_040709.jpg

10. Ama kweli ngoma iko sawia kwao Natenyahu na Joe Biden; kwamba wakikaa nchale, na hata wakichimama, nchale!

IMG_20240507_040953.jpg

11. Wakubali kusimamisha vita, Natenyahu anyonyolewe u PM. Wakatae kusimamisha vita, Biden anyonyolewe urais!

12. Ikumbukwe William Burns yupo ndani ya mazungumzo haya. Tofauti na zote, safari hii hakuna kurudi nyumbani hadi makubaliano "Israel - HAMAS" yafikiwe; kuona vita vinasimama ili kumpa Biden japo ka mstari ka maisha (a life line)!
 
NI KWELI ISRAEL IPO NJIA PANDA LAKINI JE UNAKILI KWAMBA YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO NA ANAKUPENDA WEWE?
 
dogo wacheni kuota Qur'an inasema Yesu kisha kufa yani harudi we utamsubiri sana, mwokozi wako ni Mtume Muhammad tu.

Verse #1
اِذۡ قَالَ اللّٰہُ یٰعِیۡسٰۤی اِنِّیۡ مُتَوَفِّیۡکَ وَ رَافِعُکَ اِلَیَّ وَ مُطَہِّرُکَ مِنَ الَّذِیۡنَ کَفَرُوۡا وَ جَاعِلُ الَّذِیۡنَ اتَّبَعُوۡکَ فَوۡقَ الَّذِیۡنَ کَفَرُوۡۤا اِلٰی یَوۡمِ الۡقِیٰمَۃِ ۚ ثُمَّ اِلَیَّ مَرۡجِعُکُمۡ فَاَحۡکُمُ بَیۡنَکُمۡ فِیۡمَا کُنۡتُمۡ فِیۡہِ تَخۡتَلِفُوۡنَ ﴿۵۶﴾

Translation: When Allah said, ‘O Jesus, I will cause thee to die a natural death and will exalt thee to Myself, and will clear thee from the charges of those who disbelieve, and will place those who follow thee above those who disbelieve, until the Day of Resurrection; then to Me shall be your return, and I will judge between you concerning that wherein you differ. [3:56]

Proof: The word mutawaffeeka means “I will cause you to die”. Whenever God is the fa’il (subject) and man is the maf’ul (object), it always refers to death. It means that God takes the soul of the man. In this case, it applies to Jesus(as) which in turn means that he has passed away.

Utamsubiri sana Yesu kurudi mpaa utakufa wewe na wajukuu zako harudi kisha kufa.
 
1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi.

View attachment 2983027

2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa.

3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile kisemwacho mezani, au hata kwenye mabaraza ya vita ya pande zote!

4. Kwamba ilikuwa inajulikana hadi mapema jana mistari myekundu HAMAS ilikuwa:

Mazungumzo ya kusimamisha vita Gaza, hati hati kukwama; Israel, HAMAS yupi ana hoja?

a) kukomeshwa vita kabisa (permanent ceasefire).
b) kuondoka kabisa kwa wavamizi Gaza (total IDF withdrawal).
c) kubadilishana kwa wafungwa wa pande zote mbili
d) kuanzishwa kwa mchakato wa kukomeshwa kabisa kwa vizuizi vyote vya msayuni Gaza.
e) kuanzishwa mchakato wa kuelekea wa kuanzishwa kwa taifa la Palestina na wa Gaza kurejea makwao.

5. Mstari mwekundu Israel ulikuwa vita kuendelea baada ya mapumziko mafupi.

View attachment 2983021

6. Kwamba HAMAS kakubali, na hadidu za rejea ni hizi:

View attachment 2983022

(Azimio lote kamili, kama lilivyo hapo post #2) kwa hakika mistari yote myekundu ya HAMAS imejibiwa; Israel kijasho chembamba!

7. Kwamba HAMAS kakubali azimio laini?

View attachment 2983023

8. Azimio lipi laini sasa, wakati kwenye mazumgumzo tangia awali azimio ni moja, wakiwapo mashamusi wakuu wote nchi husika (Marekani, Israel, Egypt na Qatar)?

View attachment 2983025

9. Kwamba HAMAS kawalambisha asali wenye mateka wao Gaza? "Atawaambia nini" Natenyahu, wakati hata mjengoni na hata majuu huko, wengine walitimba kabla yake? -- Prof. Jay. 😀

View attachment 2983026

10. Ama kweli ngoma iko sawia kwao Natenyahu na Joe Biden; kwamba wakikaa nchale, na hata wakichimama, nchale!

View attachment 2983024

11. Wakubali kusimamisha vita, Natenyahu anyonyolewe u PM. Wakatae kusimamisha vita, Biden anyonyolewe urais!

11. Ikumbukwe David Burns yupo ndani ya mazungumzo haya. Tofauti na zote, safari hii hakuna kurudi nyumbani hadi makubaliano "Israel - HAMAS" yafikiwe; kuona vita vinasimama ili kumpa Biden japo ka mstari ka maisha (a life line)!

----------

NB: Somo kuntu kabisa kwa makamanda wa pande za kwetu.
Unapata wapi muda wa kuandika propaganda hizi?Una shighuli ya kukuongezea kipato kweli?
 
dogo wacheni kuota Qur'an inasema Yesu kisha kufa yani harudi we utamsubiri sana, mwokozi wako ni Mtume Muhammad tu.

Verse #1
اِذۡ قَالَ اللّٰہُ یٰعِیۡسٰۤی اِنِّیۡ مُتَوَفِّیۡکَ وَ رَافِعُکَ اِلَیَّ وَ مُطَہِّرُکَ مِنَ الَّذِیۡنَ کَفَرُوۡا وَ جَاعِلُ الَّذِیۡنَ اتَّبَعُوۡکَ فَوۡقَ الَّذِیۡنَ کَفَرُوۡۤا اِلٰی یَوۡمِ الۡقِیٰمَۃِ ۚ ثُمَّ اِلَیَّ مَرۡجِعُکُمۡ فَاَحۡکُمُ بَیۡنَکُمۡ فِیۡمَا کُنۡتُمۡ فِیۡہِ تَخۡتَلِفُوۡنَ ﴿۵۶﴾

Translation: When Allah said, ‘O Jesus, I will cause thee to die a natural death and will exalt thee to Myself, and will clear thee from the charges of those who disbelieve, and will place those who follow thee above those who disbelieve, until the Day of Resurrection; then to Me shall be your return, and I will judge between you concerning that wherein you differ. [3:56]

Proof: The word mutawaffeeka means “I will cause you to die”. Whenever God is the fa’il (subject) and man is the maf’ul (object), it always refers to death. It means that God takes the soul of the man. In this case, it applies to Jesus(as) which in turn means that he has passed away.

Utamsubiri sana Yesu kurudi mpaa utakufa wewe na wajukuu zako harudi kisha kufa.
Mnatutoa kwenye mada
 
Unapata wapi muda wa kuandika propaganda hizi?Una shighuli ya kukuongezea kipato kweli?

1. Kwani twala kwako jomba?

2. Zawadini Hebu uone hii mitu hapa.

3. Unaongelea kipato kwani bando ni bure ndugu?

4. Propaganda?! Hivi unajua hata maana yake ndugu?
 
Piga ua. Tathmini waliyofanya Ajazeera ndio Ukweli mchungu.

Rais Biden lazima anyowe tu, sambamba na Benyamini.

Biden anaenda kwenye Uchaguzi na hawezi kumuacha Benyamini kuendeleza ukatili wake. Ataangukia puwa likija suala la kuungwa mkono sera zake za "Kupigana vita visivyo vyetu"

Wote wana wakati mgumu. Ni kweli sio vita vyote vinapiganiwa kwenye uwanja wa vita.
 
Na ndicho kilichomkuta mwisiraeli hapa. Yaonesha HAMAS ana wanamikakati bora kabisa.

kimemnukia
 
Hata Netanyahu aondoke madarakani, PM yoyote atakaye kuja hawezi kupatana na hamas, atafuata sera za Zionist atake asitake kwa sababu akiwasikiliza hamas na kutekeleza matakwa yao jamii ya kiyahudi na vikundi vya kidini wanasiasa wenye msimamo mkali hawatakubali, Netanyahu aliondoka Likud itabaki ikiwa na wabunge na mawaziri
 
1. HAMAS hapambani na Natenyahu. HAMAS anamjua adui yake. Anajua pia namma ya kuupata ushindi.

2. Kwa ujumla kumdindia huyu aliyejidhania na kudhaniwa kuwa untouchable si haba!

3. Tulipo tunaendelea kupata masomo, kumbe tulikuwa tunakwama wapi ..

4. Ukombozi una gharama zake na kuzilipa ni wajibu uliotukuka!
 
Mnatutoa kwenye mada

Aliwaona sana vijana wa hovyo hao:

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

2. Uwezo wao wa kuhojinau hata kuwa na hoja ni mgogoro mno.

3. Wamekaa kishabiki shabiki: kwao ni kubishana kwa kwenda mbele, utawasikia sifia sifia, za kwenye vyama, watu, dini na vitu kama hovyo.

4. Hao ndiyo utawasikia wanakereka mno mtu akiwapa za kwenye mshono.

5. Hawa hapa pia ni mfano wao: Nantahulila, Mlaleo, startergear na ya namna Hiyo.
 
Piga ua. Tathmini waliyofanya Ajazeera ndio Ukweli mchungu.

Rais Biden lazima anyowe tu, sambamba na Benyamini.

Biden anaenda kwenye Uchaguzi na hawezi kumuacha Benyamini kuendeleza ukatili wake. Ataangukia puwa likija suala la kuungwa mkono sera zake za "Kupigana vita visivyo vyetu"

Wote wana wakati mgumu. Ni kweli sio vita vyote vinapiganiwa kwenye uwanja wa vita.
Kwa hiyo kwa akili yako hiyo kiduchu unafikiri hata huyo Biden akipigwa chini kuna rais Marekani atakayekuja kuikana Israel..!!🥸

Au unafikiri akiondoka Netanyahu kuna waziri mkuu wa Israel atakayekuja kupatana na magaidi wa Hamas.

Kwa nini watu mnaongea kwa misingi ya imani za kidini zaidi kuliko kutumia akili. Subirini nyie watu wa imani za kidini na mnapoteza muda wenu bure tu kwani hamna kitakachobadilika, sera ya Marekani kuhusu Israel ni ile ile na kamwe haiwezi kubadilika na ya Israel nayo ni ileile haijalishi nani ni waziri mkuu.

Watu wa vijiweni, kwa asili ya ufinyu wa kifikra, hamuwezi kufahamu asili ya sera za mataifa hayo.
 
1. Mkuu Marekani waliwahi kuwapo Johlhny F. Kennedy, Jimmy Carter, Bill Clinton na Barack Obama hao walikuwa na human face na haki ilionekana kutendeka.

2. Israel aliwahi kuwapo Yitzhak Rabin, Omer Barak, Shimon Perez nao walikuwa na human faces.

3. Yote na yote Natenyahu anakera hata huko kwao ndivyo maana u PM wake utakuwa umefukia mwisho safari hii.

4. Ni aibu Kwa a democrat president Marekani huko kuwa roho ya ki republican president.

5. Kwa hakika bila kujali ajaye, hawa na wafurushwe tu!

6. Ukitaka kula nguruwe ni heri zaidi kula aliyenona!
 
Back
Top Bottom