matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,719
- 15,697
Nimesoma vitabu na kusikiliza hotumbq mbalimbali youtube na machapisho kadhaa ya uchumi binafsi ( personal economy) nimeona wote wanasisitiza mtu kuwa na EMMERGENCY Fund.
Hiki ni kiasi ambacho umekitunza kiko standby kwa lolote litakalokupata ghafla. Kama ni mfanyabiashara au muajiriwa ni kiasi ambacho kinaweza kukufichia aibu au kukutunza na familia yako angalau miezi sita ukiwa unasoma ramani.
Hiki kiasi kisichanganywe na kile ambacho unasave au unakitunza ili kijae kwa ajili ya kufanya uwekejazi au kukuza mtaji.
Ni tofauti na kile unachokitunza ili baada ya mida flani ufanye jambo kubwa kwa hatua kubwa.
Hii kitu ni muhimu, sana. Kuna jamaa aliwahi kuwa kiongozi mkubwa baada ya kutumbuliwa, ndanj ya muda mfupi akawa hana kitu kaisi kwamba anapiga hadi mzinga wa 50K. Hakuna haja ya mifano mingi maana hii huwa inatukuta wengi.
Wewe unatumia mbinu gani au ulitumiq mbinu gani katika kukabiri hati ya kushtukiza ya anguko la kifedha?
Ni hilo tu...