Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

aBuwash

Senior Member
Dec 26, 2023
118
215
Za jion wana jamii,

Naimani mko powa wote

Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit

NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na mwenendo wa wateja.

Msaada wenu tafazari wana jamii. Sina mteja hata mmoja nategemea location inibebe katka kuanza biashara hiii
 
Mimi nakushauri nenda mitaa ambayo ni ya uswahilini kidogo mf Manzese, Mabibo, kinondoni au mitaa inayofanana na hii maana watu wa hali ya chini ndio wanaonunua rejareja kwa wingi..
 
kwa biashara ya nafaka una hitaji sehem zenye mzunguko mkubwa wa watu kwa dar es Salaam fanya tafiti maeneo aya

Mbagala

Tegeta

Mbezi Mwisho

Tandika

Temeke
Nk nk
 
Za jion wana jamii,

Naimani mko powa wote

Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit

NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na mwenendo wa wateja.

Msaada wenu tafazari wana jamii. Sina mteja hata mmoja nategemea location inibebe katka kuanza biashara hiii
Frame Economy, hatari sana
 
Back
Top Bottom