admission

University admission or college admission is the process through which students enter tertiary education at universities and colleges. Systems vary widely from country to country, and sometimes from institution to institution.
In many countries, prospective university students apply for admission during their last year of high school or community college. In some countries, there are independent organizations or government agencies to centralize the administration of standardized admission exams and the processing of applications.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship...
  2. Rasasem

    Msaada wa kupata Admission letter!

    Salaam wakuu, ndugu zangu shida yangu ni kupata Admission letter 2023 kutoka chuo Cha UDSM ili nifanye mchakato wa kupata ruhusa ktk kituo changu Cha kazi, nimejaribu kuwasiliana na chuo bila kupata msaada chanya, kama Kuna mwenye ujuzi wa kusaidia jambo hili tafadhali naomba msaada waungwana@
  3. Huihui2

    Suluhisho La Ufaulu Law School : Wachujwe Kabla ya Kudahiliwa (Before Admission)

    Kwanza kabisa ninai blast tume ya Harrison Mwamwembe haikufanya lolote la kusaidia matatizo ya Law School. Mwamkyembe ni FAILURE katika ku deliver issues kama hizi. Kumbuka ripoti yake ya RICHMOND na Treni ya Metro aliyomleta Tapeli Shumake kutoka Chicago Najielekeza kwenye hoja yangu sasa...
  4. Jozedan56009

    Admission Officer (Marketing Expert) anahitajika

    Habari, Nahitajii mtu wa Marketing mwenye uzoefu wa kutafuta wanafunzi kwa ajili ya vyuo vikuu. Vyeti si muhimu, kama uko tayari nipigie tuongeee 0678650509. NB: Wakazi wa Dar tu.
  5. SankaraBoukaka

    Nauliza kama kuna chuo kinafanya Admission ya NTA Level 4 ya Community Development mwezi March?

    Habari wanandugu, Naulizia kama kuna Chuo kinachofanya Admission mwezi MARCH au miezi yoyote ya mwanzoni wa Mwaka kwa kozi ya Community Development kwa NTA Level 4.
  6. MropeJP

    Kwa matokeo haya ya HKL anaweza pata University Admission?

    Habari! Poleni na majukumu ya kila siku. Nina ndugu yangu amemaliza form 6 mwaka huu kama private candidate na amepata C ya historia, E ya kiswahili na E ya kiingereza. Je, kwa matokeo haya anaweza pata university admission? Maoni yenu tafadhali.
  7. Mika_Graphix

    Naomba kueleweshwa/kujuzwa juu ya hili

    Habari wanajamii, Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Poleni na majukumu yenu ya kila siku. Niko mbele yenu kuwaomba ushauri ndugu zangu juu ya hili jamba kuhusu mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka 2021/22. Nlikuwa nauliza je, kama kwa mwaka wa kwanza wa...
  8. Sunbae

    Nafasi ya Hostel Chuo cha CBE

    Wakuu natafuta nafasi ya kubebwa hapo CBE Dar es Salaam. Mwenye connection tuwasiliane. Ahsanteni.
Back
Top Bottom