helsb

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kwanini Wanafunzi wenye Account namba za CRDB hawajapata pesa kutoka HELSB?

    Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hasa wale wa mwaka wa kwanza na watumiaji wa accounts za CRDB hadi sasa hawajapata boom Lao la 4 hii inasababishwa na nini wakuu?
  2. adriz

    HESLB kuanza rasmi kutoa Mkopo kwa wanafunzi wa wa Stashahada (Diploma)

    Moja kwa moja. Taarifa imetoka sasa kuwa kesho ndipo uzinduzi rasmi wa muongozo wa uombaji wa huo Mkopo kizinduliwa rasmi makao makuu. Jambo hilo liliibuliwa mwaka huu kama pendekezo moja katika mkuta wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Hassan Suluhu na viongozi wa wanafunzi...
  3. Victor Chilambo

    Tatizo la board ya mikopo Helsb

    Kwa mwenye kujua namna ya utatuzi katika mfumo huu mpya wa bodi ya mikopo Helsb yaan kila niki attach file kwenye Guarantor id card in pdf form ina leta mrejesho wa Invalid file type naombeni msaada
  4. S

    Makato ya HESLB: Rais Samia tunaomba mrudishe makato ya 8%, pia yazingatie sheria ya kubaki na 1/3 ya basic salary

    Raisi Samia, japo umetukwaza sana na hii issue ya bandari, kuna mambo mazuri umefanya hasa katika kurekebisha baadhi ya mambo yaliyofanyika wakati wa utawala Marehemu Magufuli. Moja ya eneo ulilogusa ni kuboresha masilahi ya wafanyakazi kama kupandisha watumishi vyeo, kuongeza mishahara ingawa...
  5. Kaka mwisho

    Kweli HELSB inakusanya pesa za mkopo kupitia TRA kwa wanufaika waliojiajiri?

    Kichwa cha habari kinajieleza. Ni kweli Bodi ya mikopo elimu ya juu inakusanya mikopo Kwa wanufaika kupitia TRA ambao wamejiari. Maana tetesi zilipo ukienda kujisajili na kufungua TIN ya biashara TRA. Kuna gharama wanaongeza ambazo ni za HELSB. Je, hizi tetesi ni kweli.?
  6. Mohammed wa 5

    Fred Vunjabei amaliza deni la mkopo chuo (HESLB)

    Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu. Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo. Na tuliojiajiri tunakumbushwa...
  7. M

    kutolewa kwa ela za field (HELSB) baadhi ya vyuo vikuu Tanzania inaumiza wanafunzi wa hali ya chini (watoto wa wakulima)

    Bodi ya mkopo ya elimu ya juu hutoa mikopo kwa wanafunzi wenye vigezo na sifa zinazo stahili kupokea ambapo fedha hizo hujumuisha Ada , field, book and stationary na research ambapo kama mwanafunzi akibahatika kupata vyote huwa ni nafuu kwa mzazi. Lakini mwaka huu 2022 kwa wanafunzi wengi wa...
  8. Mika_Graphix

    Naomba kueleweshwa/kujuzwa juu ya hili

    Habari wanajamii, Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Poleni na majukumu yenu ya kila siku. Niko mbele yenu kuwaomba ushauri ndugu zangu juu ya hili jamba kuhusu mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka 2021/22. Nlikuwa nauliza je, kama kwa mwaka wa kwanza wa...
  9. Elisha Sarikiel

    HESLB: Awamu ya pili 7,364 wapangiwa mikopo; wengine watapangiwa Oktoba 25

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.4 Bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi Mtendaji...
  10. W

    Mwanachuo anayeingia mwaka wa pili akaomba mkopo HESLB kwa mwaka huo, wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch gani?

    Naomba msaada wandugu, Eti kwa mwanachuo anaeingia mwaka wa pili, akaomba mkopo HELSB kwa mwaka huo. Wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch Gani, maana batch ya kwanza wamesema ni kwa mwaka wa kwanza na idadi at. Msaada please
  11. Ze Bulldozer

    TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kuondoa VRF ya 6% kwenye HESLB pamoja na mkopo wa bilioni 106 kwa wanafunzi elfu 10 walionyimwa

    Ndugu Wananchi wenzetu, Mpaka Rais Samia anaingia madarakani zaidi ya watoto wa masikini elfu 10 hawakupewa mikopo, Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020/21 hadi 570BL FY2021/22 Kwa Sasa,kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupatiwa mkopo...
  12. N

    Bodi ya Mikopo imefuata siasa katika kutoa mikopo na kusababisha matabaka

    Kuna kiini macho kikubwa sana ambacho waTanzania hatujakigundua katika utoaji wa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo. Anayepewa mkopo huo ni Mwanafunzi lakini tathmini ya uhitaji wa kumpatia mkopo Mwanafunzi huyo anafanyiwa mzazi wake. Hii ni sawa na kusema kuwa Mzazi ndiye alipaswa kuomba huo mkopo...
Back
Top Bottom