mwanachuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    TNMC kulipisha wanachuo 30,000 ili wapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena Mwanachuo analipishwa 150,000 kufanya mtihani ni wizi na upigaji

    TNMC kulipisha wanachuo 30000 ili waapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena mwanafunzi analipishwa 150,000 kufanya mtihani.. Hili ni Janga upigaji kila Kona Baraza la wauguzi na wakunga TNMCS imeendelea kutuma taarifa za kuzisambaza kwa wakuu wa chuo kimya kimya ikiwataka wanachuo...
  2. Tommy 911

    Mwanachuo natafuta kibarua kipindi hiki cha likizo

    Habarini wana JF Mimi ni kijana ni Mwanachuo kwa sasa nipo likizo. Nahitaji msaada wa kupata kibarua chochote kipind hiki cha miezi miwili Posho hata ikiwa elfu tatu kwa siku ni sawa. contact: 0621554787
  3. kuchkuch hotahe

    Utumishi rekebisheni kidogo hii

    Nmeshangazwa na huu utaratibu wa kushtukiza kutoka utumishi, ambapo wanatoa majina ya usaili siku Moja kabla ya usajiri. Yaani majina yanatangazwa tarehe 13, tarehe 14 usaili. Hata kama mnataka kupunguza watu kwa namna hii sio sawa. Wekeni angalau siku tano kabla. watu wanatoka mbali ndani ya...
  4. Execute

    Nimenusurika kuambukizwa HIV na mwanachuo wa miaka 24 ambaye yupo kwenye mission ya kulipiza kisasi

    Huyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano. Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie. Binti...
  5. Sildenafil Citrate

    Kisa Ugomvi wa Kimapenzi, Mama amchoma mwanaye Visu zaidi ya 100, amla Utumbo na Figo

    Wakuu, Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana. Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye...
  6. koboG

    Ni wapi mwanachuo huyu atapata msaada kwa uzembee huu wa Mwalimu?

    Poleni na majukum wakuu, kama kichwa cha habari kinavo jieleza jana usiku nilipokea cm kutoka kwa mwanafunzi X wa chuo cha afya tabora kijulikanacho kama TABORA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,hiki chuo kipo katika hospital ya rufa ya mkoa wa tabora almaarufu kama kitete hospital wanatoa...
  7. ThisisDenis

    Sifa ya kujiita Msomi Mwanachuo ni ipi?

    Kusoma na kumalizana kupata cheti chako kizuri sio njia pekee ambayo itakuweka salama na kukuweka kwenye kundi la wasomi, haijalishi ni Certificate, Diploma, degree au Master. Hii ni kutokana na wasomi wengi kutoonesha nini walicho nacho na kuishia kujidai na cheji. Vyeti vilivyo vingi vya...
  8. Mkuna mgongo

    Achana na Mwanachuo!

    Hamjambo wanajamii, Niende moja kwa moja kwenye mkasa huu. Niliingia kwenye uhusiano na binti aliyemaliza elimu ya kidato cha sita. Tulipendana sana na nilijitahidi kughalamia kila kilicho ndani ya uwezo wangu. Pia yeye alijitoa haswaa kila nilipohitaji msaada wake wa hasa kwenye swala...
  9. J

    Biashara gani inamfaa mwanachuo?

    Habari wakuu Dogo amechaguliwa kujiunga UDSM (Main Campus). Anataka atakapokuwa chuo awe pia anafanya biashara ndogo ndogo ambayo haitampotezea sana muda wa masomo. Ikiwezekana aifanye mwenyewe au ampe mtu katika maeneo ya jirani asimamie. Tayari amejichanga tangu amalize chuo na ana 1.5m na...
  10. Mpinzire

    Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

    Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017! ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma. Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
  11. Igande

    Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Inasikitisha kwamba kuwa msomi siku hizi imekuwa aibu. Unasoma kwa bidii mpaka ngazi ya chuo kikuu unaishia kutia aibu mtaani. Nakumbuka kipindi niko Form V niliazimia kuacha shule. Niliona kabisa napoteza muda mrefu na nitaishia kupata aibu tu kwa usomi wangu. Sio jamii tu, bali hata walimu...
  12. W

    Mwanachuo anayeingia mwaka wa pili akaomba mkopo HESLB kwa mwaka huo, wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch gani?

    Naomba msaada wandugu, Eti kwa mwanachuo anaeingia mwaka wa pili, akaomba mkopo HELSB kwa mwaka huo. Wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch Gani, maana batch ya kwanza wamesema ni kwa mwaka wa kwanza na idadi at. Msaada please
  13. Online Pro

    Nafundisha na Kutengeneza Proffesional CV, Proposal, Presentation & Digital Marketing (SEO, Affiliate Marketing)

    Habari, Kwa yeyote anaehitaji/ unamfahamu anahitaji huduma ya kujifunza au kutengeneza Profesisional Business Pieces(Documents), CV-Curriculum Vitae, Proposal, Presentation & huduma za Digital Marketing. Tuwasiliane kwa namba: +255 688 372 118
  14. D

    SoC01 Mikopo ya wanafuzi wa vyuo iwe katika makundi mawili na yaingie kwenye akaunti ya mwanachuo kwa pamoja, pia cheti cha chuo kitumike kama dhamana

    WANAFUZI WA VYUO VYOTE WAPEWE MIKOPO YA AINA MBILI KWA WAKATI MMOJA PIA CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA YA MUHITIMU WA CHUO KUPATA MIKOPO. HABARI WANAJUKWAA WA JAMIIFORUMS, NALETA MADA HII KWENU ILI IJENGEWE HOJA IWEZE KUFIKA MAHALI HUSIKA NA KUFANYIWA KAZI KWA FAIDA KUBWA ZA JAMII NZIMA...
  15. On Duty

    Kasisi aliyenaswa akiwabusu wanafunzi wa chuo afutwa kazi

    The Anglican Church of Ghana has sacked one of its priests, Balthazar Obeng Larbi, who was captured kissing female students of the St Monica’s College of Education in Asante Mampong. The development comes after an emergency meeting between school authorities and the Anglican Church was held in...
  16. David M Mrope

    Je, umemaliza chuo na unataka ujiajiri?

    Mhitimu wa chuo kikuu ni mtu mwenye elimu ya juu kulinganisha na sehemu kubwa ya jamii. Hawa watu wanakitu cha kipekee japo wengi wao wamefumba. Sasa haya ndio mambo makuu,ya kukusaidia ujitambue na ujiajiri. 👉TENGENEZA NJIA YA ZIADA KATIKA MAISHA. Hii ni hatua ya kwanza kabisa,jaribu kuwaza...
  17. Moderator

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Habari wakuu, Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao. Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na...
  18. The Garang

    Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

    Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee. Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa. Ilikuwa majira ya jioni nimetoka pindi nikechoka nikaona sio mbaya nitafute mtu stranger nipige naye story nimzingue...
  19. BROKE BOYS

    Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

    Mambo ni vipi? Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hivi Huyu manzi nafahamiana naye tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call. Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo...
Back
Top Bottom