Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.
Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani
Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto...
Tunachotakiwa kukidai kwa wakoloni na wote waliojihusisha na biashara ya utumwa ni kwamba wanatakiwa kuomba radhi na wakiri kuwa, walitufanyia jambo la kinyama sana!
Cha kusikitisha ni kwamba hadi sasa hakuna aliyewahi kujitokeza kuomba radhi rasmi, japo wanakubali kuwa biashara hiyo...
Ni Binti mdogo mwenye umri wa miaka 23,na mwenye mtoto mmoja Familia hii haina Baba kwani baba yao alishafariki Miaka mingi iliyopita na kijana aliyempa mimba binti alimtelekeza tangu mtoto akiwa ana miezi 6.
Mama wa huyu binti ana umri wa miaka 63 alikuwa mzima kabisa tangu kuzaliwa huku...
Alikuta ofisi imepewa kazi ya kuunda kadi za Harusi ya mrembo fulani.
Alipojua ni yule kimeo ndio anaenda kuolewa na Rafiki yake mpofu wa akili aliamua jambo kwa makusudi.
Maagizo yalisema aandike:
1 Yohana 4:18
Kuweka muonekano vizuri Designer akaondoa ile moja pale mbele ikabakia Yohana...
Nimefuatilia kwa ukaribu sana hili suara la board ya Mikopo. Ni kama serikali imeendelea kulifumbia macho, yaani haioni kitu kabisa.
Bungeni nako wameamua wanafunzi wapokelewe vyuoni bila kuwa na mikopo. Hapa ni danganya toto, vyuo vitajiendeshaje ? Wanafunzi wataishije huko vyuoni?
Serikali...
Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga mazingira ya kumpotezea bag lake la vifaa vya mchezo na Hivyo last minute kupewa viatu vingine, pili...
Ni siku ya tatu tangu kuanza kwa counteroffensive attack katika mji wa kherson na leo wameanza na Kharkiv, kwa kweli mimi kama team Russia kuna muda hata kuingia Twitter naogopa mana upepo sio mzuri sana upande wetu.
Wasiwasi wangu ni kua huenda NATO wameamua kupeleka jeshi kimya kimya mana...
Bodi ya mkopo ya elimu ya juu hutoa mikopo kwa wanafunzi wenye vigezo na sifa zinazo stahili kupokea ambapo fedha hizo hujumuisha Ada , field, book and stationary na research ambapo kama mwanafunzi akibahatika kupata vyote huwa ni nafuu kwa mzazi.
Lakini mwaka huu 2022 kwa wanafunzi wengi wa...
Iweje tarehe ya ujazaji wa bwawa iwe siri?
Kweli Crane ya Tani 26 haijafika hadi leo zaidi ya mwezi umepita?
================================
========================
================================...
Tumejenga Taifa la watu wa ajabu sana. Ni siku tatu toka vijana waahidiwe ajira za DC, DAS na DED zilizotangazwa na Mhe. Rais.
Baada tu ya tangazo lile vijana wa chama Cha mapinduzi wameibuka kila Kona ya nchi kutoa matamko na kukemea baadhi ya vitu Jambo ambalo awali kabla ya kauli ya Rais...
Nawasalimu kwa salamu ya mama.
Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza.
Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk?
Hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.