Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

Digital Ticha

Member
Jun 16, 2023
29
59
Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali.

Courses ni masters ya leadership na education leadership.

Uingereza nimepata vyuo vinne.

Sweden chuo 1

Finland 1

Poland 1

Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship anisaidie taarifa.
 
Nadhani hivyo vyuo huwa vina list pia scholarship programs ambazo zipo available kwenye hivyo vyuo husika.

So do your homework. Maana hata sisi tunashindwa kukusaidia kwakuwa umeamua kwa makusudi kuficha majina ya hivyo vyuo.

Kukusaidia mfano ukiingia British Council unaweza kuona programs za scholarships kwenye vyuo mbali mbali.
 
Nimeziona lakini ni partial scholarship ambazo bado gharama zake zipo juu sana.
Mfano unalipiwa tuition fees lakini gharama zingine unakuta karibu mil 60 per academic year na unatakiwa proof kuwa utaweza kumudu hizo gharama.
 
Vyuo vya nje ni gharam ambapo ni nafuu labda German, Norway, Finland etc navyo wanataka at least uwe na €10000 sawa na Tsh 30mls Ili upate visa
Shape your English language first uwe na
IELTS or TESOL certification and
Biometric passport Ili iwe rahisi kwako kupat hizo nafasi

Nchi ambayo ni nafuu Poland hangary and Portugal etleast bank statement iwe inasoma euro 4500 hapo uwe umesha lipa full fees
Mdogo wangu Wacha kuchisha akili kama huna pesa pambana uombe full funded scholarship na scholarships wanakutak uwe umeshakuwa admitted at any aniversities
Na admition there is a application fees at least 50-150€
Nchi ambayo kupata ni issue na zipo kwenye competition kubwa around the world ni US, Australia, Canada,Uk, new Zealand,Germany and all Scandinavian countries
Pambana kuomba nchi ndogo zilipo ukija wa ulaya utakuja kunishukur baadae mf Latvia, Lithuania,Estonia,Malta etc
Zipo vizuri kiuchumi and after post studies
Ukihitaji msaada Kwa USHAURI karibu ila usiwe mvivu kusoma tu

Goodluck
 
Bless
 
Many thanks
 
Shukran sana kiongozi hizo nchi ndogo zinakuwa na competition ndogo ya waombaji ndicho unamaanisha? Hizi English proficiency test IELTS nayo ni changamoto kupata vituo vya mafunzo kwa sisi tulioko mikoani.
 
Na kama huwezi kuwa na hiyo chet ya lugha sahau kuhusu kusom ulaya through scholarship sabab Tanzania sio native English speaker of English language
Course zinatolewa British council etc
Fees 560000 per seat
 
Shukran sana kiongozi hizo nchi ndogo zinakuwa na competition ndogo ya waombaji ndicho unamaanisha? Hizi English proficiency test IELTS nayo ni changamoto kupata vituo vya mafunzo kwa sisi tulioko mikoani.
Mimi sijawai fanya mtihani wa IELTS na nimepata admission zote hizo bila condition ya IELTS. Kuna vyuo kama ukionesha A level umesoma Tanzania au bachelor umesoma Tanzania hawadai cheti cha IELTS...nchi niliyoona inakomaa na IELTS ni finland
 
Back
Top Bottom