Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

mkuu kunakitu haujakielewa hapo , umepewa conditional letter na sio unconditional letter bado chuo haujapata Hapo, bado haujakamilisha vitu bado ndio maana wamekupa conditional letter kuna vitu unatakiwa ukamilishe kwanza.kupata chuo unatakiwa upewe unconditional letter.
Nimepewa admission letter chuo kimoja cha Findland.
Yeah ni kweli vyuo vingine ni condition letter na condition yao ni ada tu nilipe kiasi ndio wanipe admission letter na CAS kwa vyuo vya UK
 
Je kwa mwanafunzi anaemaliza form six na ana ufaulu wa juu mfano PCM ana division 1 point 3 na ada ipo ni kipi cha kufanya apate tu nafasi ya kusoma kwenye hivyo vyuo?
Kama una huo ufaulu omba scholarship hata kama umeomba vyuo vya ndani ukipata usiache kuomba scholarship za nje utapata ukipata usaidizi wa kujqziwa vizuri, ukipata unaachana na vyuo vya Tanzania unaenda nje.
 
Kuwa na conditional latter ili update usability kuna vitu unatakiwa kukamilisha,hata hivyo ili upate full scholarship hizo IELTS ni kigezo muhimu sana pamoja na GPA.
Chochote kizuri kina ushindani.
Niliichukua muda mrefu sana kuomba hizi scholarships kutokana na maelezo ya uongo kama haya nilikuwa nahofia sina IELTS na sina first class naipataje scholarship. Ndio kuna vyuo ni lazima hizo vitu ila kuna vyuo vingi tu na school nyingi sana hawataki hayo mavitu.

Mfano vyuo vya UK ukiingia kwenye system zao kuna sehemu wanauliza kama umesoma Advance secondary nchini Tanzania, ukibofya ndio unakuwa haudaiwi IELTS.
 
Kama una huo ufaulu omba scholarship hata kama umeomba vyuo vya ndani ukipata usiache kuomba scholarship za nje utapata ukipata usaidizi wa kujqziwa vizuri, ukipata unaachana na vyuo vya Tanzania unaenda nje.
Ahsante kwa majibu yako kiongozi
 
Je kwa mwanafunzi anaemaliza form six na ana ufaulu wa juu mfano PCM ana division 1 point 3 na ada ipo ni kipi cha kufanya apate tu nafasi ya kusoma kwenye hivyo vyuo?
Kama ada ipo nenda kasome tu hata hapo Kenya au South Africa sio mbaya
Europe is very expensive to study especially for aliens just like you na hizo nchi unazoziwaza kichwa kwako huwezi kupata viza unless unae kibunda ya kutosha altest uwe na 25000 dollars during your visa application
Ulaya nchi rahisi na zenye gharam nafuu ni Baltic countries Slovenia, Latvia, Slovakia, Lithuania etc wap fees zao atlest 4000-7000 euro per Year
It is possible but it is not easy
 
Mie ninachotaka ni kujua tu kuwa inawezekana kupata chuo kizuri kinachotoa taaluma bora kuhusu gharama mfno hiyo dollars 25k sio shida
 
Mie ninachotaka ni kujua tu kuwa inawezekana kupata chuo kizuri kinachotoa taaluma bora kuhusu gharama mfno hiyo dollars 25k sio shida
Vyuo vpo Bora Sana,je na ww ni Bora unaweza kuonyesha ushindan na native citizens?
Unae language proficiency? At what language?
Can you support yourself for the whole time?
Can you pay the school fees till the final?
How much money do you have in your bank account to support your Visa application?
 
Back
Top Bottom