ng’ombe

Lusinga Iwa Ng'ombe (c. 1840–1884) was a slave trader in the region to the west of Lake Tanganyika in the 1870s and early 1880s.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe (part 2)

    Kama nilivyowahaidi kuwa itaendelea, kwa wale mlioanza na sehemu hii 👉🏽 Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe Basi inaendelea kama ifuatavyo; Baada ya Mfalme Sedekia kuuawa, sasa Yehoyakimi akachukua nafasi hiyo ya kuiongoza Yuda (Israel). Hapa kuna kitu...
  2. Mhaya

    Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe

    Kabla sijakuandikia stori ya huyu mwamba wa Babeli katika nchi ya Babiloni, ngoja nijaribu na mimi kujiuliza maswali kadhaa. Watu wanasema wale Waisrael wa zamani sio wa sasa hivi, hao wa zamani walikwenda wapi? Wakati wa nyakati za mwisho tunaambiwa kwamba Waisrael wote duniani watarudi nchini...
  3. Bakulutu

    Wapi maeneo ya Pwani naweza pata ng’ombe wa maziwa wazuri?

    Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza? Wengi naona ni janda za juu na kaskazini. Nipe location au contacts kwa anaejua please!
  4. B

    Songwe: Amuua mtoto wa mumewe akimtuhumu kupoteza ng’ombe wawili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha kumkamata Veronica Petro (24) mkazi wa Wilaya na Mkoa wa Songwe akituhumiwa kumuua mtoto wa mume wake, Mageshi Usiga (7) aliyekuwa akimlea. Kamanda wa polisi mkoani humo, Theopista Malya, amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya mtoto huyo...
  5. Roving Journalist

    Mbunge: Nyama ya ng’ombe ni gharama sana Zanzibar, kilo moja Tsh. 13,000

    Mbunge wa Jimbo la Chaani – Zanzibar, Juma Usonge Hamad akichangia mada Bungeni akidai bei ya nyama ya ng’ombe kwa upande wa Zanzibar ni gharama na kuwa Kilogramu moja inauzwa kuanzia Tsh. 13,000 na kuendelea. Amesema “Wizara haijaamua kusamehe tozo ambazo zinatozwa kwa ng’ombe wanaopelekwa...
  6. A

    Nina mtaji wa Tsh Milioni 20, nataka kufanya biashara ya ng'ombe

    Nawasalim kwa jina la muungano!! , Wakuu nina mtaji wa 20m nataka nianze biashara ya ng’ombe kutoka mikoani nakuleta Pugu DSM, naomba kujua ABC za hii biashara na kama inalipa au lah
  7. BARD AI

    Serikali yanunua Madume ya Ng’ombe 366 kwa Tsh. Milioni 878.4

    NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi David Silinde amesema katika kipindi cha miaka miwili tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, serikali imenunua madume ya ng’ombe ya kisasa 366 yenye thamani ya Silingi Milioni 878.4 ili kuboresha mifugo nchini. Silinde ameyasema leo katika Kata ya...
  8. Roving Journalist

    Polisi Mbeya wamnasa mwizi wa ng’ombe, mwingine aponzwa na Bangi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika muendelezo wa misako inayofanyika katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya, linamshikilia Hewad Jackson (33), Mkazi wa Kijiji cha Ilembo Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kupatikana na ng'ombe 10 wa wizi wenye thamani ya shilingi milioni kumi na tano [15,000,000/=]...
  9. Roving Journalist

    Kigoma, Uvinza: Wananchi waua Askari wa akiba 3 waliodaiwa kutaka kufanya unyang'anyi wa ng'ombe

    Tukio kubwa limeripotiwa kutokea mkoani Kigoma, Wilaya ya Uvinza ambapo Askari wanne wameuawa kwa sababu walitaka kuwanyanganya ng’ombe wafugaji wa jamii ya kisukuma kwenye msitu wa Kagera, Nkanda. Askari hao wanadaiwa kumpiga risasi mchungaji baada ya kuwagomea wasichukue ng'ombe na wafugaji...
  10. JanguKamaJangu

    Majani yenye sumu yadaiwa kuwa chanzo cha ng’ombe 15 kufa wilayani Monduli

    Ng’ombe 15 wamekufa katika kijiji cha Losirwa wilayani Monduli Mkoa wa Arusha wakidaiwa kuwa wamekula majani yenye sumu yaliyoota maeneo mbalimbali kijijini hapo. Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Monduli, Fank Mwaisumbe amesema hadi jana zaidi ya ng'ombe 15 wamekufa kwa kula majani...
  11. BARD AI

    Utafiti: Kupe wanachangia 65% ya vifo vya ng’ombe Tanzania

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara ya Vetenari Tanzania, Dk Stella Bitanyi amesema asilimia 65 ya vifo vya ng'ombe vinasababishwa na mdudu kupe (ndorobo). Amesema mdudu huyo anayesababisha magonjwa makuu mawili, asilimia 80 kati ya vifo hivyo vinatokana na aina ya ugonjwa wa ndigana kali...
  12. FRANCIS DA DON

    Kwanini ng’ombe wasipigwe nusu kaputi kabla ya kuchinjwa?

    Hivi what if mtu ukifa unazaliwa tena kiumbe kingine, mfano unazaliwa ng’ombe? Incase ni hivyo, si ingependeza kama kabla ya kuchinjwa upigwe kwanza nusu kaputi, au nakosea?
  13. JanguKamaJangu

    Serikali kuzalisha zaidi ya ng’ombe 300,000 kwa njia ya uhawilishaji

    Serikali imepanga kuzalisha zaidi ya ng’ombe 300,000 kwa njia ya uhawilishaji ili kuongeza ubora wa mifugo na tija kwenye uzalishaji pamoja na kupunguza migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ameyasema hayo jijini Mbeya alipokuwa anapokea dume...
  14. M

    UZUSHI Mkuu wa Wilaya ya Hai amepora ofisi ya Mbunge wa Hai

    Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa Huu ni Mwonekano wa...
  15. Roving Journalist

    RC Kagaigai: Ukame Kilimanjaro umeua Ng’ombe 841, Kondoo 406 na Punda 10

    Salaam Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, amepata 40% ya bajeti ya Maendeleo. Mkoa bado umeathiriwa na Ukame. ==== TAARIFA FUPI YA MKOA WA KILIMANJARO KWA MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 22 JANUARI, 2022 1. UKARIBISHO: Mheshimiwa Rais...
  16. Nchiyanguu

    Ng’ombe wa maziwa anauzwa

    Ninauza ng’ombe wa maziwa ni mitamba wenye mimba kubwa wawili, wapo chanika, Dar es salaam. Bei: 2,700,000 ( wote wawili) Contact: wasap/call/sms; 0713908963
  17. Analogia Malenga

    Watoto wawili wauawa Nzega, ng’ombe zachukuliwa

    Tabora. Watoto wawili wenye umri wa miaka kumi na mbili wameuawa na miili yao kuzikwa ndani ya nyumba baada ya kurubuniwa na kuchukuliwa ng'ombe walizokuwa wanachunga. Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki eneo la Ndala wilayani Nzega usiku wa kuamkia jana Jumapili Julai 11, 2021. Kamanda wa...
Back
Top Bottom