Wapi naweza kupata uzoefu wa kazi ama internship nikiwa fresh gradute wa bsc Environmental sciences and management

Elite_man

New Member
Mar 21, 2024
4
3
Habari za muda huu wakuu.

Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA.

Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu.

Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu wanisaidie wapi naweza pata uzoefu wa kazi kupitia volunteering, internship ama chochote kile ambacho kitanipa experience kubwa kwenye career yangu ili nikimaliza chuo nijue pa kuanzia.

Natanguliza shukrani zang za dhati kwenu nyote...
Naomba kuwasilisha🙏
 
Naomba kuwasilisha
Peleka barua ya kuomba Internship NEMC
 
Back
Top Bottom