Je? Nikifaulu oral interview utumishi naweza kubaki database?

Brightly

JF-Expert Member
Apr 28, 2022
307
422
Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!!

Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER II PLUMBING AND PIPE FITTINGS) ambayo ilihitaji mtu mwenye diploma ya civil nikafaulu ila kutokana na nafasi kuwa chache usipate placement.

Je? Unaweza ukabaki database na ukapangiwa kwenye taasisi nyingine kama Civil technician??
 
Back
Top Bottom