Kama ilivyo Alibaba China ni app gani naweza kuitumia kununua vitu Dubai

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
861
2,050
Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai.

Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to 35k Bongo lakini kilichonivutia zaidi ni ina AUED 1 , sawa na Tsh.700 yaani 0.7k Dubai.

Facebook Marketplace sio safe sana hadi biashara ifanyike physically, online shopping app ipi inanikutanisha na sellers wa Dubai.
Screenshot_20240417_005141.jpg
 
Back
Top Bottom