kodi

  1. pombe kali

    Sekta Binafsi tukatwe kodi kidogo. Tusifananishwe na Watumishi wa Umma

    Wasaaalam wana jukwaa, leo katika pita pita zangu za mjini nilienda ofisi moja ya muhimu sana, nikakuta watumishi wako muda wa mapumziko, nilifanikiwa kuchangamana nao na kujadili mawili matatu. Nilimsikia mmoja akisema kwamba amemaliza kusoma na hataki tena (training) ya aina yoyote kwa maana...
  2. M

    Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

    INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI. Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto...
  3. M

    Hizi kodi zinalipika vipi jamani?

    TRA kuweni serious ! Kwenye Mshahara wangu wa mwezi nakatwa kodi na madudu mengine karibu nusu ya Mshahara kabla sijaupokea, nafungua Biashara mnataka Kodi kabla sijaanza,Mwenye Nyumba ya Biashara anataka Kodi kabla sijaingia. Mwenye Nyumba ya kuishi anataka kodi kabla sijaingia,Manispaa...
  4. K

    Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa ulewa wangu ni 18% mlipa kodi sio mfanyabiashara mfano mwenye duka. Mlipa kodi ni mnunuzi na mwenye...
  5. Yoda

    Serikali shirikisheni kampuni binafsi za ukaguzi za "Big Four" kudhibiti ukwepaji kodi

    Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa wakati 1000 ambao mahesabu yao ya kodi tayari yameshapitishwa na TRA. Hao wafanyabiashara wakubwa na...
  6. K

    Kwako Rais Samia, fupa la ukwepaji Kodi Kwa wafanyabiashara wape wanunuaji wamalizane nalo lakini Serikali iwahamasishe kwa gawio katika manunuzi

    Kwako Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe.Rais, kwa namna ya pekee pekee ninapenda kuchukua nafasi kukupongeza kwa kuwa kielelezo Cha safari ya mabadiliko makubwa kwenye nyanja mbalimbali katika Taifa letu na kubwa zaidi...
  7. R

    Shabiby analipa kodi yoyote kwenye mshahara na posho zake?

    Shabiby ni moja ya wabunge mabepari ambao wamekwama kabisa kufikiri. Yeye ndiye anayeongoza kushawishi nauli zipande , ndiye aliyesababisha hasara kwenye ujenzi wa reli kwa kulipwa mabilioni kubeba wafanyakazi na hakulipa kiasi chochote cha kodi wala kuwalipa wafanyakazi vibarua malipo ya mifuko...
  8. Pascal Mayalla

    Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ziko kwenye magazeti mawili, Gazeti la Nipashe la kila Jumapili na gazeti la Mwananchi la kila Jumatano, pia kuna kipindi cha TV cha KMT, kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa...
  9. M

    Gharama za kuagiza gari, kodi za TRA, usajili hadi kumfikia mtumiaji

    Habari za mida hii wanajf. Kama kichwa kinavyosomeka. Kuna jambo huwa najiuliza kwenye suala zima la kuagiza gari kwa kutumia beforward, tcv, sbt, n.k. Nikipitia kwenye websites zao unakuta kwenye bei ya gari ni Tsh. 5,000,000/- na kwenye bei ya jumla sehemu ya Clearing & forwarding kwa port ya...
  10. W

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atoe ufafanuzi hii kodi ya taka inayodaiwa mtaani bila risiti

    Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
  11. M

    Kwanini asisifiwe Mwananchi anayelipa kodi inayotekeleza miradi ya kitaifa?

    Umejengwa utamaduni wa ajabu kwa kutoa Sifa kwa viongozi wa kisiasa wanaposimamia utekelezwaji wa miradi ya kitaifa, na kusahaulika Mwananchi ambaye ndiye aliyemwaga jasho kutafuta pesa na kuipa kodi kwa ajili ya kutekeleza miradi hiyo. Sifa hizo kwa sasa zimeenda mbali zaidi kusifia hata pale...
  12. R

    Rais Samia atoke hadharani aseme hizo pesa za goli la mama zinatoka mfukoni mwake au ni Kodi ya raia maskini

    Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko. Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan...
  13. Webabu

    TRA ifanye marekebisho matumizi ya mashine za EFD ili watu walipe kodi kwa furaha

    Matatizo ya mashine za EFD yapo ya aina nyingi tangu umiliki wake mpaka katika matumizi. Ukichunguza sana utagundua hizi mashine kama hazifanyi kazi ya kukushanya kodi peke yake bali na kumnyonya mfanyabishara. Hali hiyo ndiyo inayopelekea kufukuzana baina ya watumishi wa TRA na walipa kodi 1...
  14. mwanamichakato

    Ubabe wa TRA, ugumu wa biashara na utitiri wa kodi; nini kifanyike?

    Mamlaka ya mapato Tanzania ni chombo muhimu sana ktk kuijenga nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. TRA wana majukumu makubwa ya kukusanya mapato ili kufanikisha ulipaji wa gharama mbalimbali Za kuendesha Serikali (Matumizi,Miradi,Ulipaji madeni yanayokopwa nje na ndani). Kimsingi...
  15. Kiboko ya Jiwe

    Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi. Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni...
  16. D

    Natengeneza mfumo wa kukusanya kodi baada ya miaka 10 utakuwa na uwezo wa kukusanya usd billion 700+ kwa kila mwaka wa fedha

    Kama kisemacho kichwa cha habari kwa sahivi natengeneza mfumo wa kodi ambao ukiwa adopted baada ya miaka 10 utakua na uwezo wa kukusanya usd billion 700+. Nikimaliza ntawapa mrejesho.
  17. Mjanja M1

    Msaada kuhusu kodi ya meza

    Mtu ukiwa umeoa kila siku mezani unatakiwa kuacha kuanzia shingapi?
  18. Last Seen

    Kwanini sisi tunaobeti tunakatwa Kodi ila hatutambuliki na TRA kama walipa kodi?

    Habari wana Jamvi, Ninafarijika sana kuona kiwanda chetu cha kubeti kimetambulika kuzalisha ajira zaidi ya 25,000. Sisi kama wabetiji tuna dukuduku, ni kwa nini kwa kila mkeka tunakatwa kodi, Kwa nini hatutambuliki na TRA? === "Sekta ya michezo ya kubahatisha Tanzania imefainikiwa kuzalisha...
Back
Top Bottom