ukwepaji kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa ulewa wangu ni 18% mlipa kodi sio mfanyabiashara mfano mwenye duka. Mlipa kodi ni mnunuzi na mwenye...
  2. Yoda

    Serikali shirikisheni kampuni binafsi za ukaguzi za "Big Four" kudhibiti ukwepaji kodi

    Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa wakati 1000 ambao mahesabu yao ya kodi tayari yameshapitishwa na TRA. Hao wafanyabiashara wakubwa na...
  3. BARD AI

    Mahakama yaagiza Rais Mstaafu wa Brazil kuchunguzwa kwa Ubadhirifu na Ukwepaji Kodi

    Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa Rais. Bolsonaro na Mkewe wametuhumiwa Kukwepa Kodi, Kuuza pamoja na kuondoka Ikulu na Vito vya Thamani...
  4. Suley2019

    Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

    Serikali wilayani llemela mkoani Mwanza imeifunga bar maarufu ya The Cask Bar & Grill jijini Mwanza kwa tuhuma za ukwepaji kodi kwa kipindi cha miaka miwili. Kwa mjibu wa Mkurugenzi wa manispaa ya llemela Kiomono Kibamba, amesema uongozi wa bar hiyo umekwapa kodi ya Serikali na kuendesha...
  5. OLS

    Je, hatuogopi kashfa za rushwa na ukwepaji kodi za DP-World?

    Nimeangalia kampuni kubwa 12 za usimamizi wa bandari Duniani, nimegundua DP-World ndio kampuni pekee yenye kashfa ya Rushwa na Ukwepaji kodi duniani. Rank Company Name Headquarters 12 China Merchants Port Holdings Company Limited Central Hong Kong 11 Hutchison Port Holdings Trust...
  6. OLS

    Kama UK ilinusurika kupigwa TZS bilioni 200 na DP World, Tanzania inachomokaje kwenye kashfa za ukwepaji kodi wa kampuni hiyo?

    Kampuni ya DP World, ilikabiliwa na tuhuma za kukwepa kodi kutokana na upunguzaji wa thamani wa pauni milioni 80 (244,497,600,000TZS) kwa ardhi iliyo nunuliwa kwa ajili ya bandari kubwa kwenye Mto Thames huko Uingereza. Eneo hilo, linalojulikana kama London Gateway, lilinunuliwa kutoka kwa...
  7. K

    Maoni: Serikali itumie njia hii kudhibiti ukwepaji kodi.

    Kwanza, Ninampongeza Waziri mkuu kwa kutatua mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo uliodumu kwa siku 3 mfufulizo. Katikati ya mgomo huo mpaka kutatuliwa kwake tumeona na kusikia mengi hususani madhila waliyokuwa wanakutana nayo wafanyabiashara kutoka kwenye vikosi kazi vya kodi. Pamoja na mambo...
  8. Z

    Wafanyabiashara wote wanapenda kukwepa kulipa Kodi

    Hakuna mfanyabiashara yeyote Duniani na haswa kwa Nchi za Afrika anayependa kulipa Kodi, wengi wao huwa wanatafuta mianya ya kukwepa kulipa Kodi. Wafanyabiashara wengi wanatafuta faida zaidi kwa njia yoyote ile. Hivyo kujadiliana kuwa Kodi hii ilipwe ama isilipwe ni sawa na nyani kulinda...
  9. BARD AI

    Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Washirika wake kuchunguzwa juu ya Ukwepaji Kodi

    Serikali ya Rais William Ruto inadaiwa kuanza uchunguzi wa Kampuni takriban 300 zinazohusishwa na kutolipa Kodi, baadhi yake zikimilikiwa na watu waliowahi kuwa na Mamlaka katika Serikali zilizopita. Waziri wa Fedha, Njuguna Ndung’u na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kodi (KRA), Anthony Ng’ang’a...
  10. figganigga

    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akalia kuti kavu, Watendaji wake kukaguliwa ukwepaji kodi

    The Star Newspaper Front page tomorrow February 1st, 2023.......... Waandani wa Rais William Ruto wataka makampuni ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kufanyiwa ukaguzi wa Kodi. Aidha wamedai kuwa familia ya Kenyatta imekwepa kulipa kodi kwa muda mrefu sasa.
  11. Crocodiletooth

    DOKEZO Ukwepaji kodi kupitia EFD ni mkubwa kweli mpaka nimeona uchungu Kariakoo leo

    Am very sorry, I was misled the information written were not true, tuzipuuze kwani hazina ukweli wowote and am sorry endapo kama thread hii imepelekea kuleta usumbufu wowote, infact all that written here are not truly. N. B: TUJITAYARISHE KWA SENSA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 23 MWEZI HUU WA...
  12. The Wolf

    Kuepusha dhuluma kwenye mishahara na ukwepaji kodi, TRA itoe Final Salary Slip kwa wafanyakazi

    Wafanyakazi wananyonywa sana, makato ni mengi, lakini taasisi ziwe za serikali ama binafsi kupeleka michango hiyo sehemu husika imekuwa ni issue sana. Inafikia mfanyakazi anastaafu, ameumia kazini ama ameacha ajira anakosa stahiki yake kwa sababu hamna michango ambayo imepelekwa sehemu husika...
  13. M

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Mimi ni mjasirilismali,nina duka la matairi ya magari huku Mwanza. Nilielekezwa kwenye hiyo kampuni tajwa hapo juu kuwa wanauza matairi ya jumla,basi nikafunga safari mpaka dar nikawatafuta mpaka ofisini kwao,ofisi zao ziko mikocheni sehemu inaitwa njia panda ya mawaziri. Nilivyofika...
Back
Top Bottom